Shamsa Ford kumsomea Albadiri aliye muibia akaunti yake Instagram

Kwani alizaliwa na nguo?

Amri ya 9: Usiitamani nyumba ya jirani yako wala
Usitamani mke wake


Tunalazimishwa kutenda dhambi tu

Nyumba ya chid mapenzi siijui ila mke wake anatutendesha dhambi makusudi
 
huyu akili ndogo ndio maana ameibiwa account...

hacker anachoweza kufanya kwenye instagram ni kutegeshea e mail ingine kwenye profile yako tu... sasa wewe ukijichanganya ukabonyeza confirm tu bila kusoma na kufuta na kurudishia e mail yako ile acc inahamia kwake... maana email yake passwors huijui na power ya ku control insta acc ni e mail... so hapo unakuwa umeibiwa
 

Kwanini asimsomee kwanza ' albadiri ' hiyo Mtu ambaye kamfanya awe Mpumbavu na wa hovyo hovyo hivyo?
 
Amri ya 9: Usiitamani nyumba ya jirani yako wala
Usitamani mke wake


Tunalazimishwa kutenda dhambi tu

Nyumba ya chid mapenzi siijui ila mke wake anatutendesha dhambi makusudi

Kama yupo bihasharani unamkataza ww,utampa hela ya kipodozi na chakula mkuu?,nchi ya kibepari hii mkuu kama hauuzi unanunua.
 
Ataliwa hela tu,nani wa kusoma albadiri leo,atasoma na wigi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…