Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii awamu ya Tano tutaona na kusikia mengi sana!
1. Diva mil 500 q
2. Shamsa Ford mil 20.
3.
4.
5.
6.
Bado tunasubiria orodha
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Dunia inakwenda kas Sana aiseee kutoka single mother ,kuolewa na kuachika eti milion20 mahari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kilicho akilini kitumie
Labda 20m pesa ya zambia!!!Mwadada mrembo kwenye kiwanda Cha bongo movies amesema Mahari yake ni mil 20 kwa mtu anayetaka kumuoa.Mwanadada huyo mwenye sauti ya pekee yenye mahaba ndani yake inayoweza kukufanya umuonge kiasi kikubwa Cha fedha bila yeye kukuomba hela.
Mwanadada huyo pia anasifika kuwa na ngozi ya asili yenye mvuto wa aina yake bila hata kujichubua Kama wadada wengi wamjini.Umbo lake linashangaza dunia inamfanya Mwanaume yoyote atoke na udenda automatically.sura yake pekee inaweza kushawishi kupewa mkopo na benki bila hata kuwepo riba bila kusahau sifa yake nyingine ana mguu soft utazani anaiweka AC muda wote.
Mwanadada pia anasifika kuwa na macho mazuri yenye mbwembwe na kuvutia mwanaume ambayo akikutazama utazani upo mbinguni kumbe upo duniani.Mwanadada huyo amekuwa role model kwa wanawake wengi na wangependa wawe Kama yeye kutokana na uzuri wake wenye bashasha na tabasamu lake tamu Kama unakula asali.
Mkuu 80,000 ndogo sana kumbuka unachukua mke na mtoto.
Ney wa Mitengo kasha kula sana huu mzingo..Aliolewa na mlevi mwenzetu yule dick na kuzalishwa kwa mkopo, badae muuza mitumba nae kampiga porojo kumuweka ndani. Kashtuka machweo.
Sa hivi aseme tu natafuta pa kuficha sura tu mil 20 si bora ununue ng'ombe kazaa ule nyama badae.
Yaani ninavyochukia mawigi, damn it!
Muandishi acha kupenda kusifia sanaMwadada mrembo kwenye kiwanda Cha bongo movies amesema Mahari yake ni mil 20 kwa mtu anayetaka kumuoa.Mwanadada huyo mwenye sauti ya pekee yenye mahaba ndani yake inayoweza kukufanya umuonge kiasi kikubwa Cha fedha bila yeye kukuomba hela.