Shamsa Ford: Mahari yangu ni Tsh. milioni 20

Dunia inakwenda kas Sana aiseee kutoka single mother ,kuolewa na kuachika eti milion20 mahari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Goma Lenyewe namba B nani atoe 20M kuchukua chombo chakavu😂😂😂
 
Sijui kwa nini mizigo mibovu hupenda kutangaza viwango vya kuolewa
 
Mwadada mrembo kwenye kiwanda Cha bongo movies amesema Mahari yake ni mil 20 kwa mtu anayetaka kumuoa.Mwanadada huyo mwenye sauti ya pekee yenye mahaba ndani yake inayoweza kukufanya umuonge kiasi kikubwa Cha fedha bila yeye kukuomba hela.

Mwanadada huyo pia anasifika kuwa na ngozi ya asili yenye mvuto wa aina yake bila hata kujichubua Kama wadada wengi wamjini.Umbo lake linashangaza dunia inamfanya Mwanaume yoyote atoke na udenda automatically.sura yake pekee inaweza kushawishi kupewa mkopo na benki bila hata kuwepo riba bila kusahau sifa yake nyingine ana mguu soft utazani anaiweka AC muda wote.

Mwanadada pia anasifika kuwa na macho mazuri yenye mbwembwe na kuvutia mwanaume ambayo akikutazama utazani upo mbinguni kumbe upo duniani.Mwanadada huyo amekuwa role model kwa wanawake wengi na wangependa wawe Kama yeye kutokana na uzuri wake wenye bashasha na tabasamu lake tamu Kama unakula asali.
Labda 20m pesa ya zambia!!!

Kwa pesa ya TZ tena kwa usawa huu wa uncle Magu laki2 ndiyo size yake. Kwanza inasemekana ni lile tunda maarufu la aina ya tikitimaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliolewa na mlevi mwenzetu yule dick na kuzalishwa kwa mkopo, badae muuza mitumba nae kampiga porojo kumuweka ndani. Kashtuka machweo.
Sa hivi aseme tu natafuta pa kuficha sura tu mil 20 si bora ununue ng'ombe kazaa ule nyama badae.
Ney wa Mitengo kasha kula sana huu mzingo..

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Mwadada mrembo kwenye kiwanda Cha bongo movies amesema Mahari yake ni mil 20 kwa mtu anayetaka kumuoa.Mwanadada huyo mwenye sauti ya pekee yenye mahaba ndani yake inayoweza kukufanya umuonge kiasi kikubwa Cha fedha bila yeye kukuomba hela.

Mwanadada huyo pia anasifika kuwa na ngozi ya asili yenye mvuto wa aina yake bila hata kujichubua Kama wadada wengi wamjini.Umbo lake linashangaza dunia inamfanya Mwanaume yoyote atoke na udenda automatically.sura yake pekee inaweza kushawishi kupewa mkopo na benki bila hata kuwepo riba bila kusahau sifa yake nyingine ana mguu soft utazani anaiweka AC muda wote.

Mwanadada pia anasifika kuwa na macho mazuri yenye mbwembwe na kuvutia mwanaume ambayo akikutazama utazani upo mbinguni kumbe upo duniani.Mwanadada huyo amekuwa role model kwa wanawake wengi na wangependa wawe Kama yeye kutokana na uzuri wake wenye bashasha na tabasamu lake tamu Kama unakula asali.
Muandishi acha kupenda kusifia sana
 
Yaani ninavyochukia mawigi, damn it!
😀Haya hapo hana wigi
Capture.PNG
 
Back
Top Bottom