Na ile wemalicios akasema Ney ana iphone yake na htc amrudishiee baada ya kuona picha ya Ney na Shamsa
Warumi alisema eti huyo mume wake ana sura nzito kama dipa ya mtoto iliyonyewa
yaa nimeona afu siwema sijui analia wivu duuh
Sasa me sielewi au.....kwanini hayo mambo Shamsa kaamua kuyatoa ktk mtandao!!!😎😎
yaa nimeona afu siwema sijui analia wivu duuh
Insta paliwaka....Dougie na team yake
Haya.........
Hebu tuwekee shots tuone huo ubuyu bwana.Hahaaaa ni shida mazee.
Ila Siwema anampenda kweli Ney.
Hhhaaa wakati alibwanga manyanga au ndio aliacha huku anataka ila huyo Siwema kwa kutiwa hajambo yaan kajamaa alikofumaniwako nakafaham dogo kabisaaa na utakuta alifumaniwa kweli siwema malaya mnoo
Na ile wemalicios akasema Ney ana iphone yake na htc amrudishiee baada ya kuona picha ya Ney na Shamsa
duuh hatarii halafu mzuri kweli yule dada
Kwi kwi kwi! Hawa mastar wetu wana vituko! Kumbe ni siwema yulee!