Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Shogaaaa! Ney naye ni mwanaume wa maana? Maana ninayomaanisha mimi ni heshima sio pesa.
Umesahau juzi kati hapo alivyowatukana wanawake aliozaa nao?Aisee wanaume design ya Ney sio type yangu kabisa hata awe millionaire!

Usijali lolowapi yupo.
 
Attachments

  • 1428417880737.jpg
    1428417880737.jpg
    42.6 KB · Views: 1,222
Yaani hapo kwa ney karuka mikojo kakalio uharo

mine km kuna kiumbe mvumilivu duniani ni mwanamke haswa kwwnye mahusiano au ndoa
ila akichoka na akisema noo anamaanish wanaume wana makwazo sana nna%nyingi shamsa ndo alipigania penzi lisife ila amechoka sasa

pamoja na yote kwa ney amebugi sana tu mi nampenda sana huyu dada bass tu
 
Mbona sura haijaonyeshwa hii ni photoshop.

Huoni tako la box? Hapa Tanzania kuna mwanamke gani ana tako boxshaped??!
Moyo unaamini, roho inakubali mwili umegoma.Ndo yeye huyoo
 
Shogaaaa! Ney naye ni mwanaume wa maana? Maana ninayomaanisha mimi ni heshima sio pesa.
Umesahau juzi kati hapo alivyowatukana wanawake aliozaa nao?Aisee wanaume design ya Ney sio type yangu kabisa hata awe millionaire!

Shamsa anakula matapishi yake..kipindi kile Ney kawaponda bongo movies shamsa alimponda sana Ney..Zen leo anaenda kumvulia pichu..watt wakike bwana
 
Huoni tako la box? Hapa Tanzania kuna mwanamke gani ana tako boxshaped??!
Moyo unaamini, roho inakubali mwili umegoma.Ndo yeye huyoo

Hana lolote huyo lolowapi ni mahaba yake tu kwa bibi michirizi ndio yanayompofua.
 
Last edited by a moderator:
Shamsi anakula matapishi yake..kipindi kile Ney kawaponda bongo movies shamsi alimponda sana Ney..Zen leo anaenda kumvulia pichu..watt wakike bwana

Hao Bongo Movie wote ni mabongolala tu.Hata Nisha si amewahi ku date naye?
 
Dah....
 
Attachments

  • 1428420877649.jpg
    1428420877649.jpg
    21.1 KB · Views: 1,182
  • Thanks
Reactions: amu
Hiv si ndio alikua anasema mme wake hawaachani ooo ninii yamemshindaa eeeeee hehee sasa Ney nae lo hapo shamsa kabugi kabisaaa

Toka lini wanawake nyie mkaaminika?
 
Hiyoo picha ipo passionate kwelii kama Dinazarde na msukuma wake vileee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom