Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Haaa hamna sio mbaya sana, ivi kuna mwanaume mbaya tanganyika zaidi ya baba kijacho?

Mmmh!! Baba kijacho sio kukomaa kule, ukikaona live kamekomaa kafupi kabaya, uko insta filter zinamsaidia, ata hawaendani na zari kwa kweli, yani kama mtu na housboy wake
 
Mweee! Binamu tema mate chiniii, kwa unavokandia ivo wenzako watajua ww sura tamu kama idriss ohoo utatongozwa bureeee!
Mwanaume dushe na jaramba tuuu sura hata nyani anayo!

Idris nae ana sura nzuri? We binamu umeanza kuwa kipofu sasa
 
Mmmh!! Baba kijacho sio kukomaa kule, ukikaona live kamekomaa kafupi kabaya, uko insta filter zinamsaidia, ata hawaendani na zari kwa kweli, yani kama mtu na housboy wake

Miguu yake ilikua sare sare na mama ubaya.Ahsante chuma cha gym.
 
Mmmh!! Baba kijacho sio kukomaa kule, ukikaona live kamekomaa kafupi kabaya, uko insta filter zinamsaidia, ata hawaendani na zari kwa kweli, yani kama mtu na housboy wake

Daimond kawa handsome jamani acheni utaniiii yaan daimond na Ney Daimond hb siku hizii
 
Idris nae ana sura nzuri? We binamu umeanza kuwa kipofu sasa

Na tusuruali twake hiv keshakabidhiwa pesa za bba?? Idrsa anapendeza hatishi halaf huku SA yupo na Samantha
 
Unaposema uku south africa ina maana na wewe upo uko au tukueleweje? Ebu usinivunje mbavu apa.... jamaa anajua kuvaa na tumiguu twake kama banio la ugali
 
Back
Top Bottom