warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Shogaaaa! Ney naye ni mwanaume wa maana? Maana ninayomaanisha mimi ni heshima sio pesa.
Umesahau juzi kati hapo alivyowatukana wanawake aliozaa nao?Aisee wanaume design ya Ney sio type yangu kabisa hata awe millionaire!
Si alisemaga hana mpango wa kuoa? Huyo shamsa anachezewa tu kidude chake ,tena nasikia ana mimba juu, anajishauaje uko insta na ma wifi zake?