Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya hivi karibuni staa aliyefanya vizuri kwenye movie ya CHAUSIKU, Shamsa Ford kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mume wake, kwa kigezo kuwa mwanaume huyo alikuwa akimtesa na kumpiga kwa muda mrefu, uku akimshutumu mwanaume huyo kutoijali familia yake zaidi ya marafiki na starehe, kitu ambacho kimemfanya staa huyo ajiweke pembeni kuepusha msongamano.

Siku chache baada ya staa huyo kutangaza rasmi kuachana na zilipendwa wake huyo anayefahamika kwa jina moja la Dickson, hivi sasa staa huyo yupo kwenye mahaba mazito na mwana hip hop maarufu nchini, Ney wa Mitego, ambapo kwa nyakati tofauti wameonekana wakiwa wote zero distance , huku wakijiachia na mapicha kama ilivyo kawaida ya mastaa watafuta kick.

Kitendo hicho kimewashtua kama sio kuwapandisha presha wapenda ubuyu wa mujini, uku wengi wakihoji kulikoni staa huyo mwenye heshima tele mjini kuangukia kwa msanii mwenye scandal chafu kwenye jamii.
 
Attachments

  • 1428409674867.jpg
    1428409674867.jpg
    52.3 KB · Views: 4,145
Ptuuuuuu!Kick hizi zitawamaliza hawa mastaa.Huyo Shamsa kashindwa nini kutulia apate bwana wa maana? Haya waungane walee watoto sasa.
 
Haya geniveros njoo uone ubuyu wako uliokua unauulizia.
 
Last edited by a moderator:
Haaa! Atajua mwenyewe la muhimu tupate mkate wetu wa kila siku kwa matukio kama haya, a.k.a ubuyu kwa bei nafuu kabisaaa

Hahahaaa wewe Ms.Lincoln sio mzima ujue?Kwahiyo mkate wa kila siku ni ubuyu? ..lol
 
Last edited by a moderator:
Kumbe huyu mdada Ana mume?na watoto pia?..aaagh kuleni ujana vijana ila kesho inakuja kasi..
 
Ptuuuuuu!Kick hizi zitawamaliza hawa mastaa.Huyo Shamsa kashindwa nini kutulia apate bwana wa maana? Haya waungane walee watoto sasa.

Bwana wa maana yupoje shoganguu! Ney ana nyumba, usafiri, vitega uchumi na malazi bomba.Ni zaidi ya washefa wetu walio nyumba za kupanga na wala hata bodaboda ya biashara hawana...
 
Bwana wa maana yupoje shoganguu! Ney ana nyumba, usafiri, vitega uchumi na malazi bomba.Ni zaidi ya washefa wetu walio nyumba za kupanga na wala hata bodaboda ya biashara hawana...

Shogaaaa! Ney naye ni mwanaume wa maana? Maana ninayomaanisha mimi ni heshima sio pesa.
Umesahau juzi kati hapo alivyowatukana wanawake aliozaa nao?Aisee wanaume design ya Ney sio type yangu kabisa hata awe millionaire!
 
Hiv si ndio alikua anasema mme wake hawaachani ooo ninii yamemshindaa eeeeee hehee sasa Ney nae lo hapo shamsa kabugi kabisaaa

Hahahaaa uwiiii!Umenikumbusha yule mume wa Shamsa ile sura sio aisee Mungu anisamehe tu ila ni afadhali mara 100 ya Ney japo ametoa malalamiko ila kwa Ney kabug sanaaa.
 
Hahahaaa uwiiii!Umenikumbusha yule mume wa Shamsa ile sura sio aisee Mungu anisamehe tu ila ni afadhali mara 100 ya Ney japo ametoa malalamiko ila kwa Ney kabug sanaaa.

Warumi alisema eti huyo mume wake ana sura nzito kama dipa ya mtoto iliyonyewa
 
Haya.........
 
Attachments

  • 1428414872782.jpg
    1428414872782.jpg
    99.9 KB · Views: 2,158
  • 1428414939697.jpg
    1428414939697.jpg
    79.5 KB · Views: 1,616
  • 1428414984516.jpg
    1428414984516.jpg
    75.9 KB · Views: 1,578
Hahahaaa uwiiii!Umenikumbusha yule mume wa Shamsa ile sura sio aisee Mungu anisamehe tu ila ni afadhali mara 100 ya Ney japo ametoa malalamiko ila kwa Ney kabug sanaaa.

Mwanaume hasifiwi sura bwana
Cc: warumi.
 
Last edited by a moderator:
Na ile wemalicios akasema Ney ana iphone yake na htc amrudishiee baada ya kuona picha ya Ney na Shamsa
 
Back
Top Bottom