Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa



Unafahamu hakuna kitu kibaya kama kuharibu reputation ya mtu?

Asilimia zote stori yako umeamua kutunga ILI kuchafua heshima yake ambayo amejitengenezea kwa muda mrefu.

Unafahamu athari ya hichi ulichoandika ana biashara zake, ana watu wanaoishi kwa mgongo wake, ana ndugu hapa wanaomtazama kama inspirational.




Mtu kuwa public figure sio lazima umchafue sababu unajaribu kupona stress na maumivu unayopitia upande wako.
 


Tanzania kuna celeb? Kuna watu wa kawaida wastaarabu, halafu kuna wapumbavu wenye ujasiri wa kufanya ujinga ambao wewe unawaita celeb.
 
Huyu mtoto alikuwa wa moto kipindi kile cha kina kanumba na ray kila mtu alikuwa anaduwaaaa, alikuwa mtoto maini, saivi atakuwa mama.
 
Acha kumtetea tunamjua vizuri juzi tu alikuwa mbezi kuna jamaa yuko benki anamla sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…