Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Huyo mumewe naye hamnazo!
Si afanye upesi kupiga chini hiyo kenge?!!
 
Kumbe hii dunia imejaa wajinga wengi sana, yani huyo fuska unamnunuwa kwa laki tatu wakati kuna sholi za ukweli Dau lao 50k tu.
 
Huyo mumewe naye hamnazo!
Si afanye upesi kupigia chini hiyo kenge?!!
Unajuwaje kama ni Marioo anaanzaje kwa mfano?

Halafu utakuta kama ni apartment basi ni ya mwanamke.

Kama mwanamke anakaa kwako akitoka kwenye hiyo interview hata ndani ya gari lako hapaswi kuingia unamrushia mabegi yake hukohuko nje.

Ni bora uwe single kuliko kuishi na takataka kama hiyo.
 
Oya Home boi
Yule Caren Simba vipi
 
Kumbe hii dunia imejaa wajinga wengi sana, yani huyo fuska unamnunuwa kwa laki tatu wakati kuna sholi za ukweli Dau lao 50k tu.
Kuna watu wana fantasy za kutembea na hao watu.

Ila usemacho ni kweli, kuna vibinti viko 18-25 vitamu balaa.

Hiyo 50 ukikipa kinakupa mahaba kama yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…