Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Ndiyo, si unajua kuna watu wana fantasy ya kula masuperstar

Unashangaa hiyo 300k, kuna watu wanalipia zaidi ya 1,000k kulala na hao watu maarufu

Ukifanikiwa kulala naye unagundua hana maajabu kabisa yaani 🙈🏃🏃
Kuna jamaa yangu katoka Kilosa kaja mjini, kawaambia washikaji ana 1M anamuhitaji celeb mmoja maarufu huko kwenu Dsm. Jamaa wakafanya kazi mrembo katimba site, kala 1M yake mbali na gharama zingine zote, dalali kala 150K. Huwa nikimuona huyo demu kwa TV natabasamu tu
 
Hayo ndiyo matumizi halisi ya Fedha zake.

Tunatafuta fedha kwa shida alafu ujibane kwenye kuzitumia, umeona wapi 🤪
 
Alafu Mwamba atumii kilevi, wapambe waliokuwa wamezoea ngumu kumeza wanaagiza mabapa mpaka wanakata moto, celeb yeye anakunywa hennesey tu
 
Mkuu ata m15 usingemgonga, umekariri..

Kwa maelezo yako ni njaa zinazowasumbua, sasa asie na njaa alieridhika je? 1.5m ndo umeona hela ya kumzuzua mwanamke msomi mwenye hela zake na ana mtu probably more good looking than u anaeweza kumudu mara 5 ya 1.5 yako?? Acha genaralisations 😂
Mwambie huyo, wengine hiyo 300k tunaipata kwa masaa tu tukiwa offisini. Kwa nini uzuzuke nayo. Halafu si wanawake wote watakuvulia nguo sababu ya pesa, wapo wenye maisha ya kawaida lakini wanathamini miili yao
 
Kuna wengine hata 2m siwezi kukubali.
😂😂😂
Upo sirias au unatania? Yaani 2m
2,000,000/=
Elfu kumi ziwe mia mbili
Elfu tano ziwe mia nne unakataaa kutoa K?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Au unaangalia "mazingira" kwanza pamoja na "usiri"
 
Hongera kuwa mmoja wao 🫡
🤣🤣
Huwa siamini kiviiile hasahasa wale wanawake wanaosema wanakataa. Huwa ishu ni mazingira na uwepo wa usiri. Kuna don mmoja alikaziwa na demu mmoja pisi kali(corporate lady) mwenye standards za juu. Watu tukaamini huyu Dada ana msimamo. Don yule alipanda dau mpaka 2.5m kumla kwa usiku mmoja tu, Dada wa Standards alikataa katakata, sasa Don yule akapanda pipa akarudi zake mkoani huko kwenye miradi yake.

Bwana wee kumbe baadae. Kwa usiri mkubwa yule Dada wa Standards, alipandishwa ndege na Don kimyakimya akapeleka K mkoani Kimyakimya. Siri ilikuja kujulikana Baadae mno shoga yake huyo Dada ndio aliitoa siri.

Kwa hiyo wapo wengine wanakaza kutokana na Mazingira au kukosekana kwa usiri. Sanasana wadada wa Standards
 
😂😂😂
Upo sirias au unatania? Yaani 2m
2,000,000/=
Elfu kumi ziwe mia mbili
Elfu tano ziwe mia nne unakataaa kutoa K?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Au unaangalia "mazingira" kwanza pamoja na "usiri"
Hiyo 2m naweza ipata bila kudanga. Ni mshahara wangu wa nusu mwezi tena net. Why nijiuze loh
 
🤣🤣
Huwa siamini kiviiile hasahasa wale wanawake wanaosema wanakataa. Huwa ishu ni mazingira na uwepo wa usiri. Kuna don mmoja alikaziwa na demu mmoja pisi kali(corporate lady) mwenye standards za juu. Watu tukaamini huyu Dada ana msimamo. Don yule alipanda dau mpaka 2.5m kumla kwa usiku mmoja tu, Dada wa Standards alikataa katakata, sasa Don yule akapanda pipa akarudi zake mkoani huko kwenye miradi yake.

Bwana wee kumbe baadae. Kwa usiri mkubwa yule Dada wa Standards, alipandishwa ndege na Don kimyakimya akapeleka K mkoani Kimyakimya. Siri ilikuja kujulikana Baadae mno shoga yake huyo Dada ndio aliitoa siri.

Kwa hiyo wapo wengine wanakaza kutokana na Mazingira au kukosekana kwa usiri. Sanasana wadada wa Standards
Mimi siwezi kujiuza, nakuwa na mtu ambaye ni mpenzi wangu. Hiyo 2m haiwezi kuvua utu wangu.
 
Back
Top Bottom