Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Naam naam
Naam Madam.
Madam Tajiri
Kifurushi chako ni Milioni
Wanaokupenda ni wengi, wanakuchukia wachache
Hizi laki laki unazipata kwa masaa
Wewe ni kiboko Kabisa
Madam wa Standards
Madam Tajiri
Madam Mihela
Madam Mafedha
Madam Maokoto
Madam mwenye Pesa zake mjini
Madam fanya sana Ibada.
 
Naam Madam.
Madam Tajiri
Kifurushi chako ni Milioni
Wanaokupenda ni wengi, wanakuchukia wachache
Hizi laki laki unazipata kwa masaa
Wewe ni kiboko Kabisa
Madam wa Standards
Madam Tajiri
Madam Mihela
Madam Mafedha
Madam Maokoto
Madam mwenye Pesa zake mjini
Madam fanya sana Ibada.
Namshukuru Mungu kwa hilo. Ni kwa Neema yake tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sirias au unatania? Yaani 2m
2,000,000/=
Elfu kumi ziwe mia mbili
Elfu tano ziwe mia nne unakataaa kutoa K?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au unaangalia "mazingira" kwanza pamoja na "usiri"

Kaka watu wanajengea nyumba na kununulia gar malaya [emoji28]

Komba kwa lulu

Ndesambulo kwa .....


Liumba kwa warembo

Mbowe alihonga ubunge [emoji28]


Watu walihonga uwazir ukuu wa Wilaya NK

ILO shimo ni nouma mzee
 
🤣🤣
Huwa siamini kiviiile hasahasa wale wanawake wanaosema wanakataa. Huwa ishu ni mazingira na uwepo wa usiri. Kuna don mmoja alikaziwa na demu mmoja pisi kali(corporate lady) mwenye standards za juu. Watu tukaamini huyu Dada ana msimamo. Don yule alipanda dau mpaka 2.5m kumla kwa usiku mmoja tu, Dada wa Standards alikataa katakata, sasa Don yule akapanda pipa akarudi zake mkoani huko kwenye miradi yake.

Bwana wee kumbe baadae. Kwa usiri mkubwa yule Dada wa Standards, alipandishwa ndege na Don kimyakimya akapeleka K mkoani Kimyakimya. Siri ilikuja kujulikana Baadae mno shoga yake huyo Dada ndio aliitoa siri.

Kwa hiyo wapo wengine wanakaza kutokana na Mazingira au kukosekana kwa usiri. Sanasana wadada wa Standards
Sahihi kabisa Mkuu, wanasema always there is a price tag for everything japo confidentiality is a must
 
Back
Top Bottom