Shamsa Ford: Punguzeni kuniomba fedha

Shamsa Ford: Punguzeni kuniomba fedha

Nimezistudy sura zao nimebaki kufurahi!
Sura ya hakim umejaa bashasha na furaha,haina wasiwasi,ukiingalia vizuri Kabla hatujajua mipango yake tungesema Hakim kakamatika Sana na bi dada Yuko I love🤣🤣kumbe ulikuwa bashasha ya kutokuwa na wasiwasi wowote

Upande wa bidada sura yake imekaa kimkakati Sana yaani unamuona kabisaaa Kuna mipango kichwani mwake humo🤣bahati mbaya mission impossible
😅😅😅 Nimecheka sana
 
Hao baadhi wameshinda
emoji1.png
@droned
Sure!sura ya mtu unaongea Sanaa!tena mtu mpya ndio utajua kabisa Kama ana Nia ovu au njema angalia macho yanasema kila kitu Ni vile tu watu huwa tunapuuzia kukubali ukweli
Tatizo gnye zinaponza tu
 
Sasa kuombwa hela tu ndiyo mpaka alalamike! Si awakatalie tu kimya kimya. Bongo muvi bhana!!
 
Nimezistudy sura zao nimebaki kufurahi!
Sura ya hakim umejaa bashasha na furaha,haina wasiwasi,ukiingalia vizuri Kabla hatujajua mipango yake tungesema Hakim kakamatika Sana na bi dada Yuko I love[emoji1787][emoji1787]kumbe ulikuwa bashasha ya kutokuwa na wasiwasi wowote

Upande wa bidada sura yake imekaa kimkakati Sana yaani unamuona kabisaaa Kuna mipango kichwani mwake humo[emoji1787]bahati mbaya mission impossible
Ha ha ha....sura ya kimkakati Tena[emoji1787]
 
Hawa viumbe baadhi yao ni majambazi kupitia neno mapenzi, ukichunguza vizuri yaani hata hupendwi wewe bali mfuko.
dronedrake amejikomboa kutoka huu utumwa.
mzabzab yeye anabadilishana nipe nikupe.
DeepPond yeye zaidi ya kodi ya meza na kulipia mahali pa kumchinjia mamajay basi mengine hataki kusikia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha .....tunalipia ushuru wa mazingira [emoji1]
 
Inawezekana vipi mtu baki tu akuombe M 22 kumalizia ujenzi wa nyumba yake kama siyo ndugu au mtu wako wa karibu sana.....???!!!
Simple mathematic aliyeomba ni yule bishoo muuza nguo pale kino mumewe wa zamani.
Wanajuana hao
 
Back
Top Bottom