Shamsa Ford: Punguzeni kuniomba fedha

😅😅😅 Nimecheka sana
 
Sasa kuombwa hela tu ndiyo mpaka alalamike! Si awakatalie tu kimya kimya. Bongo muvi bhana!!
 
Ha ha ha....sura ya kimkakati Tena[emoji1787]
 
Ha ha ha .....tunalipia ushuru wa mazingira [emoji1]
 
Inawezekana vipi mtu baki tu akuombe M 22 kumalizia ujenzi wa nyumba yake kama siyo ndugu au mtu wako wa karibu sana.....???!!!
Simple mathematic aliyeomba ni yule bishoo muuza nguo pale kino mumewe wa zamani.
Wanajuana hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…