Shamsa Ford: Vijana wengi wa kiume wa Dar ni wambea, chawa na VibenTen.

Da watu watampinga lakini kasema ukweli huyu mdada
 
sisi wa mikoani tunaoishi dar, hii haituhusu.
 

Hivi wewe unayeng‘ang‘ania kuwa Serikali itoe Ajira itatoa wapi. Huku ulaya ajira ni kwa makampuni private zaidi . Elimu gani ya vyeti mkipewa kazi breakfast 2 hours. Lunch 4 hours simu 2 hours mwisho wa Siku Zero Hakuna ubunifu yani ofisi haina jipya. So jitahidi kuangalia pia Sisi Watz wenyewe ndo tunaangusha Nchi Sio kila Siku neno Serikali as if ni God.
 
Umenena kweli mkuu
 
Kweli kabisaa....namsapoti!hata humu jf wapoo..am sorry am not offending u but kuna mpk wajiuliza wanaume ndo wa wanaongoza kuanzisha nyuzi za kimbeambea tuu
 
Daah hili povu si la kitoto halafu ulaya na africa ni maji na mafuta
 
mashallaaaah achana na wanaotafuta viben ten kipenzi changu .
Naanzaje kwa mfano mwanaume shabab wa kunigeuza geuza kama chapati kitandani ninae.nkitembea natembea kifua mbele kwa kiburi unachonipa,sijasema nataka kenda saloon muamala umesoma,Mungu labda anishushie gunia la misumari tena,kwako nimefika sitoki nasiruhusu utoke
 
Hahahaaa usintie majaribuni mpenzi. Ujue mafisi mengi yamo humu yanamendeamendea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…