TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Na ndio maana hutakaa usikie mtu anayemwamini sana Mungu eti ni mfanyabiashara wa madini.haitatokea
Chunguza hata hawa akina gwajima, mzee wa upako, marehemu rwekatale, mwamposa, masanja, mwingira etc wanafanya biashara tofautitofauti ila hutakaa usikie wanajihusisha na madini

Mkuu, natanguliza samahani. Ni kwamba hii Orodha uliyotaja ni mfano wa watu wanaomuamini sana Mungu?
 
Ingekua kupata pesa unamtoa mke basi tungekua tumefanya hayo kitambo,ushirikina wa damu inahusu damu yako ya kuzaa sio mke hata siku moja...angalia watu wote wenye pesa za ulonzi utaona kazika watoto na ndgu wakutosha ila sio mke
Sio kweli...washirikina wengi wanakimbilia kutoa kafara za watu wao wa karibu kama watoto kwasababu ni raisi kuliko kumlia timing kichochoroni mtu usiyemjua
 
"Tale" na "Kitale" ukiwasikiliza mahojiano yao, mara nyingi ni watu wanaoamini sana kwenye mambo ya Ulozi na Ushirikina.

Hata jambo likitokea ukaambiwa wameshiriki inakuwa ngumu sana kuwatetea.
Kuna interview yake moja nilishtuka sana...walikuwa na tamasha daressalaam kipindi hicho mvua nyingi...akasema wameenda kwa mganga na wana uhakika siku ya tamasha mvua haitonyesha...muandishi akamuuliza uko serious au unatania? Akajibu nipo serious kwasababu I'm a true African...ngumu sana kutomshuku kwenye tuhuma kama hizi, ingawa binafsi siamini kama kamslaughter wife ake...
 
Basi anapata ya hela kulia mboga.
Huwezi kuwa bilionea wa madini bila kuwa mshirikina
Ila kumbe anapata, mwanzoni ulisema hakuna Mtumishi wa Mungu anaweza kufanya hiyo biashara.

Huyu Pastor ana maisha mazuri tu though sio Bilionea ila hela anapata kupitia shughuli za madini.
 
Billionaire Daniel Shillah?
Ndugu utajiri una siri nyingi sana
 
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.

Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.

View attachment 1490835

View attachment 1490828
Baada ya mapambano makali ya CCM na CHADEMA saizi ni muda wa kuangalia movie maana tuliweka wasiwasi kwenye kila kitu ili kuhakikisha CHADEMA inapata walau wabunge wawili kwenye uchaguzi wa 2020.. Kwa vulumai zilizopo Mbeya ni muda ya SUGU kusaidia CCM ipite bila kupigwa maana naye amekamilisha miaka 10…

Watu wa interest mlisahau hii movie

Kuna interview yake moja nilishtuka sana...walikuwa na tamasha daressalaam kipindi hicho mvua nyingi...akasema wameenda kwa mganga na wana uhakika siku ya tamasha mvua haitonyesha...muandishi akamuuliza uko serious au unatania? Akajibu nipo serious kwasababu I'm a true African...ngumu sana kutomshuku kwenye tuhuma kama hizi, ingawa binafsi siamini kama kamslaughter wife ake...
Unajua hakuna Siri duniani....muda ni jibu sahihi

Kikubwa uzima tu.
 
Unajua hakuna Siri duniani....muda ni jibu sahihi

Kikubwa uzima tu.
Ila dea jaman tuache unafiki wee angalia reaction ya tale kweny huu msiba, yaan hata haoneshi kuguswa mda wote anazurura tu,
kaniacha hoi hapo wakati kutaka safari ya kuelekea Moro ianze, yeye anazurura barabaran huku akitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kutangulia, aaaaaah
 
Back
Top Bottom