Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Ina maana hakuelewa anaumwa ugonjwa gani, labda mauzauza...JoJo ile post yake mmh[emoji848]Yaani mkewe kaugua kima ajabu,ukiona mke alikuwa anaomba misaada kwa watu wamlelee wanae incase akifa. Hapa inaonyesha kabisa Tale hafai. Mwanamke anaemwamini mmewe hawezi kwenda kwa kina Makonda akaongee vitu kama hivyo. Tale ni loser mshirikina mkubwa.
Duuuuh,ila lisemwaloo mmhMbaya zaidi mkewe alijua kuwa lazima atolewe kafara ndio maana aliacha kabisa press, ili wanaobaki wajue namna gan wawa protect wanae, tale sio mtu mzuri kabisaa, ndugu wasipokua makini atamaliza wanae wotee maana hakutakua na kipingamizi kwake.
Hakika umesema.Kwani uchungu una upimaje?
Ulitaka muda wote atoe machozi?
Alie huku anagala gala?
Au ulitaka azimie ndio useme kaguswa na msiba?
Mbona mnakuwa waswahili nyinyi,nyinyi ndio wale baada ya msiba nmnaanza kwenda kwa mganga kwenda kupiga bao kujua kama ndugu yako kafa kweli au msukule,ndio kwa akili zenu watu kama nyinyi Gwajima aliwageuza mtaji wa kupiga hela na kutengeneza brand la kanisa lake.
Hivi hushaudhuriaga misiba ambayo wafiwa wanapiga bia muda wote,hawa nao mtasemaje?
Kama hujui kuna wengine uchungu wa Msiba unaanza baada ya kuzika na kuna wengine wapo cool,ila ndani ya vifua vyao kuna maumivu ya uchungu husio pimika.
Yaani mtu kushika simu ndio mnashangaa,mimi jana jamaa yangu kazika baba yake Kigamboni muda alikuwa na simu anachat na sisi na yy ndiye aliye tuelekeza msibani na michango tumemtumia kwenye simu.
Huu uhuru tuliopewa na JF tusiutumie kuwadhalilisha au kuwaumiza wengine kihisia,kisa sababu ya hisia zako za kijinga.
Nyie mlitaka Babutale aomboleze vipi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]imebidi tu nicheke japo msiba, Victoire naona umeishaidaka hii, haha haKabisa.Nimeshangaa kuona hapa ndo kwao View attachment 1492220
Ila za ulozi waga hazidumu na zina masharti kibao...kuna tajiri mmoja wa njombe ana mahotel na mabus ya kutosha aligongwa na gari wakati anasukuma mkokoteni kariakoo, akadead...alikuwa anapeleka mizigo kwenye bus lakeMimi nakuelewa. Hapa duniani huwezi kupata Mali nyingi bila ushirikina au maombi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Heeeeeh yaan hapa ndio kwa kina tale? Khaaaaah mbna n tofaut sana, jaman hawa watu wanashindwa kutengeneza kwao? Lol
Mmmh dea janja tyuuh hizo nakuambia, wala hakuna ukweli wowote.Jamani kaumia Sana, sema anajikaza
Jamani kaumia Sana, sema anajikaza
Na mi hapo nimechoka asee[emoji26] something fishy[emoji848]Mbona sielewi hizi msg za Huyu dada marehemu kwa watu akiwaomba wamsaidie kulea watoto wake? It means alijua atakufa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]jamani nyieInabidi apakarabati na anunue pazia zuri, na stuli
Inauma sana sanaMaskini shammy Kama aliona haponi Hadi akamuomba joketi, na makonda wamulelee wanawe
Wewe ulikuwepo?Kamuulize makonda kipi kilimsibu shammy hadi akaenda kwake kuomba protection ya wanae km akifariki, tena kwa msititizo juu pa1 na mam keegan.
Na wakati huo alikuwa mgonjwa. Tusichoshane bhana khaaaaah.
Dea imagine mkewe anaenda kwa makonda na jokate kuwaomba msaada wawalee wanae na kuwapa protection, km akifa huku yeye akiwa n mgonjwa, hivi huon ishara yeyote? MweeeeeeehDuuuuh,ila lisemwaloo mmh
Twin, si unajua lisemwaloo?Twin usiniambie na wewe unaamini tuhuma hizo za kafara??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]jamani nyie
Mkokoteni?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila za ulozi waga hazidumu na zina masharti kibao...kuna tajiri mmoja wa njombe ana mahotel na mabus ya kutosha aligongwa na gari wakati anasukuma mkokoteni kariakoo, akadead...alikuwa anapeleka mizigo kwenye bus lake
Mmmmh, hizi storee ziko mpaka kitaa wallah[emoji848]Sio vilio vyote ni vya uchungu, vingine ni vya furaha baada ya kumaliza kazi iliyokua inamuumiza kichwa mda mrefu
Dah.Saivi mbona yote yanatoka wazi kaa utulie uone mambo, chezea tale weyeeee, ubunge mtam bhana aaaah
Yani picha alopost makonda shammy alikuwa amekata tamaa kabisa, nakuomba wamsaidie kulea wanawe