TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Yaani mkewe kaugua kima ajabu,ukiona mke alikuwa anaomba misaada kwa watu wamlelee wanae incase akifa. Hapa inaonyesha kabisa Tale hafai. Mwanamke anaemwamini mmewe hawezi kwenda kwa kina Makonda akaongee vitu kama hivyo. Tale ni loser mshirikina mkubwa.
Ina maana hakuelewa anaumwa ugonjwa gani, labda mauzauza...JoJo ile post yake mmh[emoji848]
 
Mbaya zaidi mkewe alijua kuwa lazima atolewe kafara ndio maana aliacha kabisa press, ili wanaobaki wajue namna gan wawa protect wanae, tale sio mtu mzuri kabisaa, ndugu wasipokua makini atamaliza wanae wotee maana hakutakua na kipingamizi kwake.
Duuuuh,ila lisemwaloo mmh
 
Kwani uchungu una upimaje?
Ulitaka muda wote atoe machozi?
Alie huku anagala gala?
Au ulitaka azimie ndio useme kaguswa na msiba?

Mbona mnakuwa waswahili nyinyi,nyinyi ndio wale baada ya msiba nmnaanza kwenda kwa mganga kwenda kupiga bao kujua kama ndugu yako kafa kweli au msukule,ndio kwa akili zenu watu kama nyinyi Gwajima aliwageuza mtaji wa kupiga hela na kutengeneza brand la kanisa lake.

Hivi hushaudhuriaga misiba ambayo wafiwa wanapiga bia muda wote,hawa nao mtasemaje?

Kama hujui kuna wengine uchungu wa Msiba unaanza baada ya kuzika na kuna wengine wapo cool,ila ndani ya vifua vyao kuna maumivu ya uchungu husio pimika.

Yaani mtu kushika simu ndio mnashangaa,mimi jana jamaa yangu kazika baba yake Kigamboni muda alikuwa na simu anachat na sisi na yy ndiye aliye tuelekeza msibani na michango tumemtumia kwenye simu.

Huu uhuru tuliopewa na JF tusiutumie kuwadhalilisha au kuwaumiza wengine kihisia,kisa sababu ya hisia zako za kijinga.

Nyie mlitaka Babutale aomboleze vipi?
Hakika umesema.
Kuna watu msiba unaanza wakati wa kutupia udongo jeneza au kutoka makaburini
 
Kamuulize makonda kipi kilimsibu shammy hadi akaenda kwake kuomba protection ya wanae km akifariki, tena kwa msititizo juu pa1 na mam keegan.
Na wakati huo alikuwa mgonjwa. Tusichoshane bhana khaaaaah.
Wewe ulikuwepo?
 
Ila za ulozi waga hazidumu na zina masharti kibao...kuna tajiri mmoja wa njombe ana mahotel na mabus ya kutosha aligongwa na gari wakati anasukuma mkokoteni kariakoo, akadead...alikuwa anapeleka mizigo kwenye bus lake
Mkokoteni?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimeona wako wana dance msibani sijuw wajuba ao dini gani ..anyway let the think be how is
 
Back
Top Bottom