Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

Mwinyi muda mfupi sana ameshajijengea kasri la nguvu Unguja alisema lakini visiwa 2 viwili vya Tumbatu Mwinyi tayari ashaviuza kwa mabepari anavuta hela taratibu, wenyewe watumbatu wamekuja juu Zanzibar kitaeleweka tu muda ukifika, Mwinyi haungwi mkono na CCM kindaki ndaki Unguja aliekwa madarakani ni Magufuli kihuni kabisa.
 
Kipigo ni dalili ya mwisho wa kifikiri ya akili katika kutatua tatizo.

Hivyo inaonyesha hapo ndipo waliishia katika kutafakari yaliyosemwa.
Huyu mzee wamempa umaarufu sana,
Kwani wangenyamaza, wasimfukuze, wala kumteka na kumpiga, ni nini kingetokea?

Siasa zimekuwa za kutishana, kufukuzana, na kuumizana na kufungana.

Siasa za kujenga hoja zimetushinda
 
Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha.

Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni matatizo ilhali katiba ya chama na nchi hamna inayosema Rais lazima atawale miaka 10.

Shamte ameendelea kusema CCM kikiwa makini yatatokea kama ya Idriss Abdulwakil ambae baada ya miaka mitano akaambiwa apishe na kutafutwa Rais anaefaa. Shamte amesema yeye anasema wazi yeye kama Baraka na hata uchaguzi uliopita alikiheshimu chama.

Jana Shamte akafutwa Uanachama na kupata kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana.

Apigwe tu kwani kukodisha ndio kuuzwa? Kwanza baba yake alikua puppet wa usultani. Kama ni makaburi kakatazwa kuhamisha?
 
Hawakupaswa kumpiga, wangemwelesha tu kwamba kwa utaratibu wa chama ukiwa rais unapewa chance ya miaka mingine mitano. ni utaratibu tu lakini kumpiga ni kosa lisilo na mfano.
 
Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha.

Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni matatizo ilhali katiba ya chama na nchi hamna inayosema Rais lazima atawale miaka 10.

Shamte ameendelea kusema CCM kikiwa makini yatatokea kama ya Idriss Abdulwakil ambae baada ya miaka mitano akaambiwa apishe na kutafutwa Rais anaefaa. Shamte amesema yeye anasema wazi yeye kama Baraka na hata uchaguzi uliopita alikiheshimu chama.

Jana Shamte akafutwa Uanachama na kupata kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana.

CCM Chama Kikongwe lakini inashindwa KUKUBALI UKWELI KATIBA inasema Rais atatawala kwa MIAKA 5
kwanini UCHAGUZI unaofuata Wanachama Wanazuiwa
wa Kugombea huo ni UDIKTETA Mzee kasema KAFUKUZWA Uanachama

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu

Dr. Husein Mwinyi kategwa kategeka!!?

Yale yale ya Ndugai na ishu ya mikopo na kuuzwa NCHI!

Angejuliza nani kamtuma huyu Mzee!!?

Halafu angekaa kimya tu!

Kwanini kakurupuka kama Dada yake wa huku Bara!!?

Nimekumbuka bi hangaya alipochanganywa na Gazeti la Uhuru mwaka jana na kuingia kingi!!!akacheza boko ambalo Hadi leo linamtafuna!!

Mbona we Mwinyi ni mzoefu kabisa tena umehudumu WIZARA ya ulinzi KWA miaka Mingi Sana!!?

Ina Maana imeshindwa kuifungua code Hadi umeingizwa cha kike HIVI!!?

Tarajia vita kubwa ya urais huko visiwani kuanza KWA Kasi Sana!!kama huku Bara!

Utachezeshwa sebene Hadi utakubali!

Ungekuwa smart kwa kutambua kuna hisia za nchi inaongozwa na Watoto wa familia Moja!Sasa Ndio utasikia ukipingwa wazi kabisa tena na wengi!!!

Watajitokeza wengi utawavunja MIGUU wangapi!!?
 
CCM imejaa wtu wa hovyo sn
 
CCM Chama Kikongwe lakini inashindwa KUKUBALI UKWELI KATIBA inasema Rais atatawala kwa MIAKA 5
kwanini UCHAGUZI unaofuata Wanachama Wanazuiwa
wa Kugombea huo ni UDIKTETA Mzee kasema KAFUKUZWA Uanachama

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kafukuzwa akiwa hospitali bila hata kusikilizwa
 
Back
Top Bottom