Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

Kwani wewe ndiyo unapanga mafanikio ya familia ya Magu kwa taarifa yako watoto wa Magufuli ni vichwa Ndiyo maana siyo chawa.Chezea msukuma wewe, hawajikombi kwa mtu.Wale ni wafugaji na wakulima hawana shida.Watoto wa Magufuli wanalamba asali ya kutokana na ufugaji wao, siyo wengine kutwa nzima wanawaza kuwa Marais.Pathetic getegete
Maana yangu ni kuwa RAIS ajaye bara baada ya huyu bara au visiwani watoke ktk family za kawaida asiwe wa MBELEKO. Amen
 
Huu ni Uongo wa hali ya juu. Hakuna ushahidi wowote na ni maneno tu kama yalivyo maneno mengine.
Amkaaa amkaa jamaa anapiga hela tu, mdomo mtupu anawapiga wazanzibari toka ameingia madarkani watu wanakusanya makodi hakuna maendeleo yoyote aliyoleta zaid ya kujenga masoko mradi ambao yeye kuna shea yake anakula balaaa, habari zipo kitamboo sana
 
Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha.

Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni matatizo ilhali katiba ya chama na nchi hamna inayosema Rais lazima atawale miaka 10.

Shamte ameendelea kusema CCM kikiwa makini yatatokea kama ya Idriss Abdulwakil ambae baada ya miaka mitano akaambiwa apishe na kutafutwa Rais anaefaa. Shamte amesema yeye anasema wazi yeye kama Baraka na hata uchaguzi uliopita alikiheshimu chama.

Jana Shamte akafutwa Uanachama na kupata kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana.

sanamu la huyu mzee liwekwe wapi?
 
watu wasiojulikana;;;;;;;nimeupenda huo msamiati wa ccm wa kifedhuli
 
Back
Top Bottom