Shamte wa mama Dai anawawakilsha vyema wanaume wa Tanga

Shamte wa mama Dai anawawakilsha vyema wanaume wa Tanga

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Wanaume wa Tanga kwa kupenda mitelezo hamjambo, mwenzenu kakimbilia kwa bibi yake kisa hela, kazi hamtaki kufanya mnataka kuteleza tu

[emoji23][emoji23][emoji23]

Ningekuwa Diamond walahi huyu shamte ningemtimua maana anamdanga mama Dai live live[emoji16][emoji16]

Wanaume wa Tanga,Lindi kazi hampendi mkija mjini msingi kiuno
 
Una ushahidi kwamba wanaume wa Lindi hatupendi kazi mkuu..?

Mbona una generalize kitoto namna hiyo wewe.

Wanaume wa Lindi wakija dar wanahangaika huku na kule wewe unakuja kukosoa juhudi kizembe zembe namna hii..?

Ila kuhusu watanga kama kuna kaukaeli flani
 
Dai leo yupo huku BARIADI-SIMIYU ana show kali/hatari sana.

Raia wanamzungusha mtaa kwa mtaa.
 
Shamte aka Mai aka mtoto wa 8,8
Huyo ni mzee wa mteremko kitambo

Ova
 
Kijana katukana mama za watu
IMG_20190707_222019.jpeg
 
Amezingua sana,hajui yeyr katoka wapi kabla ya kuwa hapoo..

Huwenda alikuwa mbeba zege,tofali n.k..
Hivi kwanini mnakuwa wazito wa kufanya analysis. Hapo ushaamini kwamba aliyeandika hapo ni Diamond.
 
Jamaa linaota ndambi tu,mbele huko Dai kauwawa akiambiwa aingie mtaani ataliwa kisogo huyu
 
Back
Top Bottom