mzee wa magumashi
Senior Member
- Oct 10, 2012
- 137
- 44
ulijuaje wanawake wa ofisini kwa wife wanavaa shanga????shinikizo linakuja kwa watu wanaomzunguka wife yaan ofisin kwao wanawake majority Wana shanga,
Pengine wife wake kamwambia.ulijuaje wanawake wa ofisini kwa wife wanavaa shanga????
wife nae kajuaje majority wana shanga??Pengine wife wake kamwambia.
Nimeleta kiherehere kumjibia.
Tulia mkuu.wife nae kajuaje majority wana shanga??
hapana asee sio kiivyoTulia mkuu.
Kwani wewe huwezi kujua rafiki zako wanavaa nini? Halafu madem mnavopenda kuhadithiana.
Sasa kama mnahadithiana nani kakutongoza pale ofisini na nani ana mademu wengi mtaacha kuambiana shanga?hapana asee sio kiivyo
Zinaongeza ashki haswa kwa anaejua kuzitumia vyema😊Mama pretty husika na kichwa cha uzi ulete majibu..