Shanga zinasaidia nini akivaa mwanamke?

Shanga zinasaidia nini akivaa mwanamke?

Shanga au siku hizi kuna cheni za kiunoni.. huwa urembo ikiwa Mwanamke awe na kiuno flani cha kubonyea... Hata ukimuweka chuma mboga unaona mashimo yote mawili..

Kinyume na hapo wale wenye vitambi, na mabonge bonge hizo shanga zinawafanya waonekane kama waganga wa kienyeji..
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]witch doctors
 
Shanga au siku hizi kuna cheni za kiunoni.. huwa urembo ikiwa Mwanamke awe na kiuno flani cha kubonyea... Hata ukimuweka chuma mboga unaona mashimo yote mawili..

Kinyume na hapo wale wenye vitambi, na mabonge bonge hizo shanga zinawafanya waonekane kama waganga wa kienyeji..
Daaah!!
 
hao wanaomzunguka mkeo walijuaje kuwa havai shanga??????

na kama mumewe hapendi wanamshinikiza amvalie nani???

mjomba shtuka!!!!!
 
Kuna limchepuko langu linae shanga 10 bila kumchezea hizo shanga hawez kukojoa hata utomb* Massa 10

Mm nkiwa nalo naienyoy sana nachezea mishanga yake huku najipimia oil kiroho mbaya
 
Mwanamke aliyevaa shanga na ambaye hajavaa ukiwaweka hapo nachagua aliyevaa shanga,she is more attractive and has a stimulating stimulus
 
IMG_2914.jpg
 
Back
Top Bottom