Shanga zinasaidia nini akivaa mwanamke?

Una roho machafu weye sio bure
Usiforce tufanane, mm ndio nipo hivyo sipend hayo mavitu, na Mara zote wqvaao hivyo ni malaya na ukichunguza waliambiana na wenzao Malaya kuwa ukivaa hivyo unamvutia mwanaume , jiulize awavutie wanaume wangapi
 
Hizo Ni tamaduni Za waswahili aka waislam...tuwaulize wao
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti waganga wa kienyeji
 
Usiforce tufanane, mm ndio nipo hivyo sipend hayo mavitu, na Mara zote wqvaao hivyo ni malaya na ukichunguza waliambiana na wenzao Malaya kuwa ukivaa hivyo unamvutia mwanaume , jiulize awavutie wanaume wangapi

Bob hivyo vitu vinafundishwa kwenye ma unyago huko kama tunavyofunzwa majandoni, labda uwe unatokea ukanda uleeeee ndio hautaelewa
 
😁😁😁😁
 
Kwani uongo?? Unamjua mkristo anaevaa shanga?
Mm ni mkristu lakin ulichosema hakina uhusiano wowote na dini/iman ya mtu. Shanga ni tamaduni tu isiyohusiana na dini.
Njoo huku kwa wajita wengi wanazo na nimaeneo ambayo ukristu hasa usabato umetawala
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hbr bila picha hainogi.Hebu Weka Kapicha Ka Shemeji yetu akiwa hajavaa shanga,na Kapicha kengine ka mtumishi mwenzake na Shemeji akiwa amevaa shanga ili tulinganishe.

Naomba kuwasilisha.
 
Mm ni mkristu lakin ulichosema hakina uhusiano wowote na dini/iman ya mtu. Shanga ni tamaduni tu isiyohusiana na dini.
Njoo huku kwa wajita wengi wanazo na nimaeneo ambayo ukristu hasa usabato umetawala
Hakuna mjita Wala msabato anaevaa shanga..msabato hata Pete au cheni Tu havai sembuse shanga??
 
Kwa enzi hizo zilikuwa zinatumika kama sign ya mazungumzo na zilivaliwa kulingana na rangi.

Kwa sasa mambo yamekuwa mambo kiunoni mwanamke anavaa shanga mia hadi anaanza kufanana na mgomba.

Ila Wataalamu Wanasema Kuna Vionjo Vyake Namna Ya Kuzipikicha Hadi Mwanamke 6x6 Anawehuka.
 
Hakuna mjita Wala msabato anaevaa shanga..msabato hata Pete au cheni Tu havai sembuse shanga??
Ulishawavua wote ukawaona? Pete ni kitu kilicho wazi tofautisha pete na shanga.
Tana hapo pakusema hakuna mjita anaevaa shanga sijui kama umewai ishi nao labda ungesema sio wote ila sio hakuna
 
Shanga kwa wenye trako tu, kam huna trako ni sawa na hiriz
 
Nami ngoja nisikie wanasemaje maana sijawahi kujua hizi faida zake ni nini kwenye kugegeduana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…