Nadhani anamjibu Lema aliyeropoka huko Arusha ππ₯Uchaguzi umekaribia CCM wameanza MICHEZO yao.
Fatma K Hana akili hata kidogo! Maoni binafsi ya Martin Maranja Masese kaya address kama ya CDM! Huu ni uzwazwa wa Hali ya juu! Fatma K anachochea UDINI.View attachment 2913064
Fatma Karume akemea UDINI wa Chadema na kuvunja ukimya wa muda mrefu kuhusu chama hiki kuhusishwa na mlengo wa kidini.
Kawahakikishia hawatopata kamwe kura za waislam kwa siasa zao za udini.
Mimi Speech ya Lema yote nimeisikiliza Lema alikuwa akiiongelea UDINI unaosambazwa na CCM Arusha ametuasa Watanzania wote kwa ujumla Tuukemee.Nadhani anamjibu Lema aliyeropoka huko Arusha ππ₯
Luca sasaaa.CHADEMA hawawezi kupata kura za kundi lolote lile katika jamii lenye akili Timamu na linalojitambua.kwa sababu CHADEMA ni genge na mkusanyiko wa watu wasio na busara wala hekima wala adabu. Ni watu wanaofanya vitu kama vipofu na ndio maana chama kimekosa nuru na muelekeo kwa kuwa kinaongozwa na vipofu ambao akili zao zinaweza madaraka na vyeo tu. CHADEMA wapo tayari kushirikiana hata na shetani ilimradi wapate madaraka. CHADEMA wapo tayari kulipasua Taifa kwa Udini ,ukabila ,ukanda na hata kuchochea machafuko hapa nchini ilimradi wao wapate madaraka na vyeo.
Watanzania tunapaswa kuwapuuza CHADEMA na kuwakemea kabla hawajaharibu Taifa letu.
Sasa hivi ChaDema mtaanza kumtukana 'shangazi' yenu mpendwa kisa amewakosoa na amewaambia ukweli ππFatma K Hana akili hata kidogo! Maoni binafsi ya Martin Maranja Masese kaya address kama ya CDM! Huu ni uzwazwa wa Hali ya juu! Fatma K anachochea UDINI.
Sisi wengine ni kina nani sasa? π π π makapi??Waislamu wako Hamas wanapambana πΌ
Hawana jema ndugu zetu.Sasa hivi ChaDema mtaanza kumtukana 'shangazi' yenu mpendwa kisa amewakosoa!ππ
Kwanini sasa Chama chako cha Mapunguwani huwa kinaiba Kura za CHADEMA?CHADEMA hawawezi kupata kura
Jambazi alieokoka ambae anajifanya nabii ni shida sana aise.View attachment 2913064
Fatma Karume akemea UDINI wa Chadema na kuvunja ukimya wa muda mrefu kuhusu chama hiki kuhusishwa na mlengo wa kidini.
Kawahakikishia hawatopata kamwe kura za waislam kwa siasa zao za udini.
amewananga na kuwazodoa sana waisilamu acha upotoshaji πMimi Speech ya Lema yote nimeisikiliza Lema alikuwa akiiongelea UDINI unaosambazwa na CCM Arusha ametuasa Watanzania wote kwa ujumla Tuukemee.
Unajua kinachoendelea Arusha?Shangazi nampenda sana ila hapa kapotoka kidogo.amewananga na kuwazodoa sana waisilamu acha upotoshaji π
udini unasambazwa na Nabii Jambazi ndio hasa kinachoendelea A.townπUnajua kinachoendelea Arusha?
Aa!!! Wapi huzo ni chuki zenu dhidi ya Nabii Lema.udini unasambazwa na Nabii Jambazi ndio hasa kinachoendelea A.townπ
Iko wazi,hasa kwenye uchaguzi wa 2010,udini ulikua wazi, waislam wakahamasishana kwa sms tu kumpigia jakaya,watu Chali..maana Hadi pengo alikua chadema liveUchaguzi umekaribia CCM wameanza MICHEZO yao.