Shangazi kaja na mchumba kutoka kijijini...Mwenzenu nipo dillema!

Shangazi kaja na mchumba kutoka kijijini...Mwenzenu nipo dillema!

hii nayo kali...amrudishe huyo binti na shangazi kijijini then nae aende kuwaoiga msasa...ikiwezekana aende na mchumba wake wa UDSM kujitambulisha rasmi.
Wasukuma watamkubali mchaga kweli? teh! teh! teh!
 
afanye uamuzi kutokana na moyo wake unachotaka. Mwisho wa siku yeye ndo ataishi na mwanamke alomchagua c ukoo wala shangazi.Meanwhile amwambie shangazi arudi na huyo binti!Pia asimame kidete maana ana vita kali mbele yake.Halafu haya mambo mengine uduwanzi sana, raha ya maisha ufanye maamuz mwenyewe uanguke au kufanyikiwa mwenyewe sio watu watoke wanakotoka kuja kuharibiana maisha na taratibu!
I Got you mkubwa, nitaufanyia kazi ushauri wako! Kweli ndugu sometimes miyeyusho!
 
Huyo rafiki yako atambue kuwa mke yeyote atakayeoa hataishi na shangazi yake, mjomba, wazazi au watu wengine wa ukoo. Ni yeye atakayeishi naye. Yeye ndiye atakayekabili uzuri na ubaya wa huyo mke. Kwa hiyo ni LAZIMA afuate chaguo la moyo wake hata kama sio chaguo la wazazi au ukoo wake kwa kuwa hayo ndiyo maisha yake yote yaliyobaki. Watu wa ukoo watapinga sana lakini baadaye watasalimu amri. Tusiendekeze vimila VILIVYOKAUKA tayari.
Mila ni mila mkuu, we cant escape from our traditions. Nimekusoma vyema, sometimes we have to stay focused in what we believe to be right!
 
Moja ya mila potofu tunazopigania zitoweke nipamoja na hiyo!
Mimi nadhani aende kule kijijini akawaelimishe wazee wa pande zote kwa hekima na ustaa! Huku akitumia mbinyo kuwa tayari anae mchumba ampendae kwa dhati! Asisahau kuwaomba watu wawili au watatu wenye hekima aambatane nao katika kuwaelimisha wazazi wake hii itaongeza uzito wa hoja zake!!
 
Kama vp, awapotezee ndugu...kwan wenyewe ndo wanaoa?
Chagua kitu roho inapenda!
 
Wala hakuna issue hapa. Ni kuoa mwanamke unayemtaka, wewe shangazi yako anakuhusu nini? At this age, shangazi yako atoke kijijini akupe mwanamke na wewe unakubali!

You will need your head examined!
 
Moja ya mila potofu tunazopigania zitoweke nipamoja na hiyo!Mimi nadhani aende kule kijijini akawaelimishe wazee wa pande zote kwa hekima na ustaa! Huku akitumia mbinyo kuwa tayari anae mchumba ampendae kwa dhati! Asisahau kuwaomba watu wawili au watatu wenye hekima aambatane nao katika kuwaelimisha wazazi wake hii itaongeza uzito wa hoja zake!!
Hivi wazee wa zamani dhana ya mapenzi ya dhati iliwapita eeh?
 
Kama vp, awapotezee ndugu...kwan wenyewe ndo wanaoa? Chagua kitu roho inapenda!
Ndugu lawama kaka, watoto wako wataishia kuwafahamu majirani tu, ucpime hv vimila mila!
 
Wala hakuna issue hapa. Ni kuoa mwanamke unayemtaka, wewe shangazi yako anakuhusu nini? At this age, shangazi yako atoke kijijini akupe mwanamke na wewe unakubali!You will need your head examined!
Shangazi anatekeleza maagiza ya kikao cha ukoo mkuu, that means kwamba ukoo ndio umeamua!
 
Uliona wapi jogoo wa shamba akawika mjini, na siku akizibuka hakamatiki.
 
ni rahisi sana.....kwa kifupi awambie kuwa yeye ni mtu mzima ana maamuzi yake katika maisha.kuhusu swala la kuoa aseme tayari amefanya maamuzi yake ana ana mchumba .....amshukuru shangaza na ukoo wote kwa kumchagulia mke lakini awambie hataweza kumuoa......maana si chaguo lake.......
asiweke bla bla nyingi....
 
ni rahisi sana.....kwa kifupi awambie kuwa yeye ni mtu mzima ana maamuzi yake katika maisha.kuhusu swala la kuoa aseme tayari amefanya maamuzi yake ana ana mchumba .....amshukuru shangaza na ukoo wote kwa kumchagulia mke lakini awambie hataweza kumuoa......maana si chaguo lake.......asiweke bla bla nyingi....
Nimekupata mkuu, hata mimi nilikua nadhani hivi bt sikua na uhakika kama nipo sahihi!
 
Najua anampenda sana mchaga bt shinikizo la ndugu ndio tatizo!

Hakuna tatizo bana! Yeye ndiye muoaji na ndiye atakayeishi na mkewe na si nduguze. Haya mambo ya kuoa kwa kushinikizwa ndio baadaye ndoa ikishindikana unabaki na majuto makubwa kwanini niliamua kusikiliza shinikizo la ndugu. Mwambie awaambie nduguze kwamba tayari ana mchumba wake wanapendana yuko masomoni na akimaliza tu watafunga pingu za maisha. Asikubali ndoa ya kushinikizwa.
 
Yaani huyu ni Afisa Utumushi wa wapi anashindwa kuamua jambo kama hilo ambalo maamuzi yake yako wazi?mfano akiletewa kesi kuna mfanyakazi hapo ofisini kwake anatembea na mke wa mfanyakazi mwenzake ataenda kumuuliza nani? Ina maana hajui moyo wake unachokipenda? Huyo uamuzi anao mwenyewe na sio wewe umshauri aoe yupi katika hao wawili
 
Hakuna tatizo bana! Yeye ndiye muoaji na ndiye atakayeishi na mkewe na si nduguze. Haya mambo ya kuoa kwa kushinikizwa ndio baadaye ndoa ikishindikana unabaki na majuto makubwa kwanini niliamua kusikiliza shinikizo la ndugu. Mwambie awaambie nduguze kwamba tayari ana mchumba wake wanapendana yuko masomoni na akimaliza tu watafunga pingu za maisha. Asikubali ndoa ya kushinikizwa.
Ndio mkubwa nimekupata! Unajua mi naenda mbali nahis swala la ukabila linaingia hapa. Kwa anayejua wasukuma vyema anaweza tueleza tabia zao?
 
Back
Top Bottom