Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

Mkuu ndiye mke wangu huyo huyo aliyekwenda kwao kwa ile issue ya chupi,ila nimekwenda kumuangukia my wife wangu na kanikubalia. sasa aliporudi nyumbani ndio nikamuomba shangazi aje kututembelea,ndio yakatokea hayo yaliyotokea.Nalog off
 
Something is ging on between Washawasha and shangazi yako. Umemwambia mkeo aende kupumzika hadi shangazi yako atakapoondoka?How comes?Ati chakula yako nani anakupikia na kukulisha!Ni huyo shangazi?Washawasha tuambie vizuri huyo ni shangazi au ndo nyumba ndogo!
 
huyu ni shangazi yangu,baada ya baba yangu anafuatia yeye ni baba mmoja mama mmoja na mdingi wangu. yeye anapika kwa sasa.Nalog off
 
He he he he heeeeeeeeeeeee!Sijawahi kuona unamrudisha mkeo kwao unabaki na shangazi yako, enhee kupika ni moja na usiku we unalala na nani?sie kama wanajamii tukueleweje?hujui hayo ni matusi?ina maana umemuondoa mkeo uishi na shangazi yako. We ndio wale wale wa siwezi kuoa eti kisa mama hamtaki mke wangu!Muoe basi hyo anti yako kama ye beautiful. Halafu ebu tuwekee pic ya huyo shangazi, alishawahi kuwa Miss TZ miaka ya 1905? I believe so jamani
 
fukuza shangazi mbali kuleeee.... Na uache kufua chupi zilizoanguka bafuni.
Majirani zako wanasema mbona chupi za kiume zikianguka husuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…