Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
- #121
Mkuu ndiye mke wangu huyo huyo aliyekwenda kwao kwa ile issue ya chupi,ila nimekwenda kumuangukia my wife wangu na kanikubalia. sasa aliporudi nyumbani ndio nikamuomba shangazi aje kututembelea,ndio yakatokea hayo yaliyotokea.Nalog offWewe mbona kila siku mimi nashindwa kukuelewa! Juzi hapa umetuambia mkeo kenda kwao kwa sababu umesuuza chupi ya jirani yako wa kike leo hiyo huyo huyo mkeo kawa BUNDI kwa mujibu wa shangazi yako. Sasa labda nikuulize swali, unaandika tamthilia au unatuletea michezo ya kuigiza hapa. Kati yenu woote watatu mwenye akili hapo ni huyo shangazi yako tu. Na ndio maana amembaini bundi miongoni mwenu, hebu wacha mchezo wako hapa