GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Sh3 milioni kwa makosa manne ikiwemo kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum.
Pia imetakiwa kulipa Sh850,000 ikiwa ni gharama ya ukarabati wa mageti yaliyovunjwa wakati wakiingia uwanjani pamoja na makufuli ya uwanja wa Mkapa.
Chanzo: mwanaspoti_tz
TFF tafadhali katika Mkutano wenu ujao katika AGENDA zenu GENTAMYCINE nawaomba mje na Sheria Kali kuwa Timu inayogoma kupita katika Geti Kuu (Maalum) itatozwa Faini ya Shilingi Bilioni Moja (1) na Kukatwa Alama (Points) Tatu (3) ili iwe Fundisho kwa Wapuuzi kama hawa wa mitaa ya Jangwani na Twiga.
Nina Hasira mno nami mtanikoma huko Kigoma Kudadadeki zenu. Mwanaume 'Hatairiwi' mara mbili na tutaheshimiana tu huko Kigoma hiyo tarehe 25 July, 2021.