Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Kiba alishasem hapend sifa,na aliwaambia mashabik wasimshangilie wala nn[emoji3]
Una uhakika malipo Ni sawa??Mwenzako anachoangalia ni ngawira na si hayo mashangwe yenu
Hata wamshangilie vp huyo simba cjui swala lakini malipo niyale yale anayopewa yeye mond na Alikiba
Ingekuwa mwitikio wa mashabiki ndiyo malipo hapo sawa ila mashabiki hawamlipi
Sina uhakika mkuu ila sizani kama wanalipwa tofautitofautiUna uhakika malipo Ni sawa??
Yaani Kuna wale wamama wanakatika stejin walipwe sawa na mond na kiba? Kila m2 na mkataba wake na makubaliano Yake na ccm tofautiSina uhakika mkuu ila sizani kama wanalipwa tofautitofauti
Sawa mkuu nimekunyakaYaani Kuna wale wamama wanakatika stejin walipwe sawa na mond na kiba? Kila m2 na mkataba wake na makubaliano Yake na ccm tofauti
Huwa nawashangaa sana wanaojipa kazi ya kuanza kumlinganisha Kiba na Mondi! Maana ni kazi sio kidogo. Kuna tofauti kubwa mno kati ya hawa watu. Tukubali tu, mwenye heshima yake apewe!Nimekuwa nikifuatilia mikutano mingi ya kampeni na bahati nzuri mahasimu wawili kwenye mziki wa Bongo Fleva (Diamond na Alikiba) wamekuwa wakikutanishwa kwenye jukwaa moja lakini ukiangalia shangwe analopewa Diamond ni tofauti kabisa na analopewea kaka yake Alikiba.
Kiba jukwaani amepooza hata akiimba anajikuta anaimba pekee yake
Hebu leta hapa hiyo mikataba ya malipo,uwathibitishie hawa watu.Mwenzako anachoangalia ni ngawira na si hayo mashangwe yenu
Hata wamshangilie vp huyo simba cjui swala lakini malipo niyale yale anayopewa yeye mond na Alikiba
Ingekuwa mwitikio wa mashabiki ndiyo malipo hapo sawa ila mashabiki hawamlipi
Ngoja niifukunyue mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]Hebu leta hapa hiyo mikataba ya malipo,uwathibitishie hawa watu.
Ukiangalia hizo show msanii anayefunga show Ni diamond level ya diamond Ni kubwa Sana than kiba so hawawezi kulipwa sawa labda uingize ushabiki.Ngoja niifukunyue mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana....hawawezi kulipwa sawa sababu tofauti yao ni i Kama nyau na temboMwenzako anachoangalia ni ngawira na si hayo mashangwe yenu
Hata wamshangilie vp huyo simba cjui swala lakini malipo niyale yale anayopewa yeye mond na Alikiba
Ingekuwa mwitikio wa mashabiki ndiyo malipo hapo sawa ila mashabiki hawamlipi