Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Nimekuwa nikifuatilia mikutano mingi ya kampeni na bahati nzuri mahasimu wawili kwenye mziki wa Bongo Fleva (Diamond na Alikiba) wamekuwa wakikutanishwa kwenye jukwaa moja lakini ukiangalia shangwe analopewa Diamond ni tofauti kabisa na analopewea kaka yake Alikiba.
Kiba jukwaani amepooza hata akiimba anajikuta anaimba pekee yake
Kiba jukwaani amepooza hata akiimba anajikuta anaimba pekee yake