Shangwe, nderemo na vifijo vyatawala Iran baada Ayatollah na viongozi wakubwa jeshini kuuawa chini ya saa 12 tangu mashambulizi yaanze

Shangwe, nderemo na vifijo vyatawala Iran baada Ayatollah na viongozi wakubwa jeshini kuuawa chini ya saa 12 tangu mashambulizi yaanze

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Ni chini ya masaa 12 tangu mashambulizi yaanze mida ya saa tatu na nusu kwa saa za Afrika mashariki, Ayatollah na viongozi wakubwa wa Jeshi wameuawa.

Habari hizo zilianza kama tetesi mida ya jioni na kuwa confirmed usiku.

Reaction ya wananchi ipo tofauti kabisa, wameamua kusherekea mitaani.







 
Ngoja nijifunze kiajemi ili niwaelewe wanaongea nini, halafu nitarudi.
Nalog off Z
 
Screenshot_20260301_021053_Chrome.jpg
 
Babu hakika hakupendwa, Kunyimwa uhuru ni kama upo jela, let people waamue wanavyotaka kuishi, Peponi kwenda hakuna kulazimishwa ni hiari ya ''ntu'' na ''ntu'' kuamua binafsi
 
Babu hakika hakupendwa, Kunyimwa uhuru ni kama upo jela, let people waamue wanavyotaka kuishi, Peponi kwenda hakuna kulazimishwa ni hiari ya ''ntu'' na ''ntu'' kuamua binafsi
Na media hazipo huru Iran, chombo chochote kinachoingia kinaandaliwa mazingira ya kuripoti na watu wa kuhoji, mara chache sana watu wametumia njia za panya kupata maoni halisi na huwa ni hatari ukikamatwa.

Muda huu angalau watu wanaanza kupata uhuru wa kuonesha Iran ambayo ilifichwa.
 
Putin kamuuza Ayatollah
Hivi karibuni tumeona jinsi Ukraine anavyopoteza miji na vijiji vingi, sio kwa kutopewa silaha na US, bali kwa US kuacha kumpa Ukraine intel za Russia,
Haya ni makubaliano ya Putin na Trump, huku Trump kuachiwa na Putin kufanya anachotaka bila Putin kuingilia na pia kumsaidia Trump anachotaka kama kunyakuliwa kwa Maduro ni uhalisia tosha. na kwanza Putin alimuona Maduro anamvurugia mishe zake za kuuza mafuta wakati yeye mwenyewe anauza kimagumashi, akamuuza Maduro kwa Trump.
Biden anajua fika sababu za kubeba virango Afghanistan, ni msaada wa Russia kwa Taleban usioisha uliowafanya US kujiona wamekalia kaa la moto miaka yote 20 ya kuitawala Afghanistan.
Hapa inaonyesha Ukraine hatoboi, lazima ateme nusu ya nchi yake kwa Russia ndani miaka miwili ijayo ambayo Trump bado atakuwa rais.
 
Ayatollah hajafa
Mbona hata Osama wanasema kafa ila hajafa
 
Mbona hiyo population uliyoleta ndio i represent watu 90 millions!??
Yani hata robo ya idadi ya raia haijafikia kusema kuwa raia wanafurahia kuuawa kwa Khamenei.
Ulitakiwa useme "baadhi ya raia wanashangilia kuuawa kwa Khamenei" usijumlishe raia wote.
Ninyi ndio mlikimbia somo la hesabu ninyi na jiografia.
 
Back
Top Bottom