Shaq awaambia watoto wake watafute mali zao

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
1,834
Reaction score
3,042
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO

Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.

Mpaka sasa Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
image_2024-03-17_10-48-25.png
 
Huyu ni MPUMBAVU kwani watoto waliomba kuzaliwa? Starehe zake na hawara yake ndiyo zimeleta mimba na hatimaye watoto unless awarudishe walikotoka
 
Digital Blackfacing.

post za juu #2,3,5,7,8 ni hao hao tu.

☝️✍️nina update jinsi uzi unavyoshuka.

Na posti za chini👇 post #12,17..

Mmetahadharishwa. Na mkiona hivi, wamekong'otwa pahali.

Wacheni wenyewe walumbane muone-haiendi popote.
 
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO

Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.

Mpaka sasa Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
Sisi tuna roho mbaya ndio asili yetu
 
Tafuteni mali zenu, sio kukaa kaa kutolea macho nyumba ya babu yenu Kariakoo, pumbavu sana…
Mbona hasira sana kwa mambo madogo basi mali zako ukifa watoto wako watakuzika nazo kwenye kaburi na jeneza lako,, vipande vya magari, nyumba, madirisha, nguo, fedha, saa , mabati ya alaf, nondo, n.k..hapo vipi
 
Back
Top Bottom