TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
- Thread starter
-
- #121
Kwahiyo tusi-save?Mkuu salama,
nimesoma bandiko lako na nimeelewa kama ifuatavyo;
Kwanza wewe ni lazima muajiliwa so unajaribu kushauri wengine pia katika level uliopo.
Pili nataka nikuchalleges kama unafanya saving ili ununue gari au nyumba unakua sahihi lakini you will never be reach(hauwezi toboa kwa kusave).
Njia sahihi ya kujikomboa kumaisha, kwanza futa hizo mentality za kusave and instead anza kufikilia kubuld businesses(you can start small) kwa hyo hyo pesa unayosave(remember savers are loosers).
Jaribu kufatilia watu wote matajiri wanaokuzunguka kwa haraka uliza au jiulize wametoboa kwa kusave au kwa kufanya biashara...Ukipata majibu utaungana na mimi 100%.
I wish you best of luck hope nimeeleweka!
[HASHTAG]#stoppoormentally[/HASHTAG]!!!
Naomba na mm niku- Challenge! Mtu ambae katoboa katika maisha anatakiwa-awe na nini?.
# Kwanza kabisa kaaa ukijua akiba zinatofautiana kuna wengine ni wajasiriamali wadogo huweka milion 1 kwa mwaka kama akiba.
# Na kuna wengine wafanya biashara wakubwa huweka akiba ya milion 20 kwa mwaka.
Kwahiyo katika hayo makundi mawili anaeweka milion 20 kwa mwaka lazima atoboe, kwasababu katika hiyo akiba yake ndani ya miaka 4 anaweza kufanya mambo makubwa.
Na mjasiriamali mdogo nilazima apigane kufa na kupona ili kuikuza biashara yake katika hiyo akiba aifanyie ubunifu ili akuze mtaji afikie hatua ya kuweka akiba kubwa ili afanye mambo makubwa
Umenielewa mkuu?