Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

Mkuu salama,

nimesoma bandiko lako na nimeelewa kama ifuatavyo;

Kwanza wewe ni lazima muajiliwa so unajaribu kushauri wengine pia katika level uliopo.

Pili nataka nikuchalleges kama unafanya saving ili ununue gari au nyumba unakua sahihi lakini you will never be reach(hauwezi toboa kwa kusave).

Njia sahihi ya kujikomboa kumaisha, kwanza futa hizo mentality za kusave and instead anza kufikilia kubuld businesses(you can start small) kwa hyo hyo pesa unayosave(remember savers are loosers).

Jaribu kufatilia watu wote matajiri wanaokuzunguka kwa haraka uliza au jiulize wametoboa kwa kusave au kwa kufanya biashara...Ukipata majibu utaungana na mimi 100%.

I wish you best of luck hope nimeeleweka!

[HASHTAG]#stoppoormentally[/HASHTAG]!!!
Kwahiyo tusi-save?

Naomba na mm niku- Challenge! Mtu ambae katoboa katika maisha anatakiwa-awe na nini?.


# Kwanza kabisa kaaa ukijua akiba zinatofautiana kuna wengine ni wajasiriamali wadogo huweka milion 1 kwa mwaka kama akiba.

# Na kuna wengine wafanya biashara wakubwa huweka akiba ya milion 20 kwa mwaka.


Kwahiyo katika hayo makundi mawili anaeweka milion 20 kwa mwaka lazima atoboe, kwasababu katika hiyo akiba yake ndani ya miaka 4 anaweza kufanya mambo makubwa.


Na mjasiriamali mdogo nilazima apigane kufa na kupona ili kuikuza biashara yake katika hiyo akiba aifanyie ubunifu ili akuze mtaji afikie hatua ya kuweka akiba kubwa ili afanye mambo makubwa


Umenielewa mkuu?
 
Kwahiyo tusi-save?

Naomba na mm niku- Challenge! Mtu ambae katoboa katika maisha anatakiwa-awe na nini?.


# Kwanza kabisa kaaa ukijua akiba zinatofautiana kuna wengine ni wajasiriamali wadogo huweka milion 1 kwa mwaka kama akiba.

# Na kuna wengine wafanya biashara wakubwa huweka akiba ya milion 20 kwa mwaka.


Kwahiyo katika hayo makundi mawili anaeweka milion 20 kwa mwaka lazima atoboe, kwasababu katika hiyo akiba yake ndani ya miaka 4 anaweza kufanya mambo makubwa.


Na mjasiriamali mdogo nilazima apigane kufa na kupona ili kuikuza biashara yake katika hiyo akiba aifanyie ubunifu ili akuze mtaji.


Umenielewa mkuu?
kaelewa bhana ...

kama hakuelewa mbishi tu
 
kwa mfanya biashara au mjasiriamali hawezi weka pesa benki miaka mitano bila kutoa, huko ni kukosa akili ya fedha. Pesa inatakiwa izalishwe, hiyo hesabu uliyopiga ww kwa mtu smart ndani ya miaka mitano inatakiwa awe na shilingi 150M hadi 300M.
Wala sio kukosa akili. Kila mtu ana uwezo wake wa kufanya mambo.

Kama una ushauri ndio uungwana...
 
Mimi natumia njia hii kusevu akiba. Japo nilichelewa mno mpaka najuta.
Nimepanga kila hela ntakayopata ya marupurupu tofauti na mshahara wangu. Nimekuwa nikiweka kwenye kibubu.
Nina vibubu viwili kimoja cha sarafu na kingine cha noti.cha noti ndo cha marupurupu. Na sarafu ni hela za matumizi ambazo nabakiwa nazo nikirudi Kutoka kwenye majukumu yangu.
Inanisaidi Sana.
Super women 2:
Mimi napishana na wewe kidogo.
Nina save salary, af viposho posho na abcd ndo natumia.
Pia na-save coins, for the kids lakini
 
Asante kwa maelezo mazuri na yalioshiba nimeielewa vizuri sana ingawa hapo kwenye hisa tena ndio changamoto maana sikusoma uchumi so sielewi hisa ni nini, ni fedha au nini?

Jingine pia, sijui sijaelewa vizuri kwamba kwa kila mwezi ni lazima mtu achangie (au anunue hisa) za 250,000 au hyo ni maximum maana umesema hisa moja ni Tshs 50,000/= na kama ni hivyo wakati wa kugawana profit mwisho wa mwaka vipi haiwezi kuleta mkanganyiko wa kugawana faida maana kuna wengine yaweza kua wametoa zaidi ya wenzao?

Na vipi Kuhusu memba akikopa na akashindwa kurudisha mnamchukulia hatua gani? Hii ni kwamba kwa kuwa sisi ni bado wachanga tutakapoanza moja kwa moja tufuate km nyie mnavyofanya hadi hapo ambapo tutakuwa tumekomaa vizuri na kuweka sheria zetu wenyewe

Nimependa jinsi ambavyo mambo yako kwa uwazi kwenye hiyo system yenu maana kama kuna records zinaonesha pesa imeshachangwa shs ngapi, kila member amechanga shs ngapi na nani na nani wamekopa (na ni kiasi gani kila mtu amekopa) na salio lililobaki ni shs ngapi. Hapo nimepiga saluti kwa kweli ni very clear management and transparency mlionayo.

I'm still have a lot to learn from you once again.......
Waarmly welcome, nduyo hisa ni ile amana tu tuliyoamua kuweka, ni fedha kwa kifupi.. ambapo tulisema hisa moja iwe 50,000 na kwa mwezi mtu anaweza kuwa na the maximum of 5 which makes 250,000. In short kila mwanachama kwa mwezi lazma anunue hisa, na kiwango cha chini kabisa ni hisa moja.. hii inaensure continuity..na mfuko hauishiwi kwani lazma kila member ananunua.. kweli kuna wanaonunua hisa zote tano, na wale ambao mfano wamekopa tayari unakuta anafanya marejesho and on top of that ananunua hisa yake moja.. its also a way of saving kwani mwisho wa siku your money comes back to you plus the interest accrued.
So far hakuna defaulters kwa sababu kwenye system yetu ni wafanyakazi wote wa ofisi moja, na agreement ni kwamba once mshahara umetoka that is the first thing to do, kununua hisa (that is kuwekeza amana/saving) na kulipa madeni kwa waliochukua mkopo. Na lazma unasaini makubaliano na masharti ya kujiunga.. hakuna kona kona wala ujanja ujanja kwani kila kitu kiko wazi na mambo yanaenda..
 
Habar wana JF?

Msingi mkubwa wakufanikiwa katika maisha nikuweka akiba.

Kipindi nipo Shule nilikua na-save kiasi cha pesa ninacho pewa kwaajili ya matumizi ya shule kila siku nyumbani nilikua napewa TZS 2,000 kama matumizi ya kutwa nzima nikiwa shuleni kwani kutoka home hadi shule kulikua na umbali mrefu.

Toka hapo hadi leo bado nimeendelea kujiwekea akiba na nimeona ni njia salama sana kwani inakupa uhuru wa pesa.

Katika harakati za kueka akiba kila mtu huweka kulingana na kipato chake.

70cf8bfae9d105d762151afe6cf9965f.jpg


Nimeanzisha uzi huu ili kila mtu kushare Idea yake anayotumia kueka akiba- kwani akiba ndio njia salama ya kufikia malengo - na pia kuwakumbusha wale wasiokua na utaratibu wa kujiwekea akiba

Kama unandoto ya kumiliki gari,nyuma nzuri,nk anza leo kueka kidogo unacho kipata ndicho kinacho tengeneza kikubwa cha kesho

NB: sio lazima usave kwenye kibubu unaweza weka kwenye TIGO PESA , M PESA Bank Account Nk..

SHARE IDEA YAKO UNAYO TUMIA KUWEKA AKIBA [emoji120][emoji120][emoji120]
akiba ya nini bora utrade forex
 
Kwahiyo tusi-save?

Naomba na mm niku- Challenge! Mtu ambae katoboa katika maisha anatakiwa-awe na nini?.


# Kwanza kabisa kaaa ukijua akiba zinatofautiana kuna wengine ni wajasiriamali wadogo huweka milion 1 kwa mwaka kama akiba.

# Na kuna wengine wafanya biashara wakubwa huweka akiba ya milion 20 kwa mwaka.


Kwahiyo katika hayo makundi mawili anaeweka milion 20 kwa mwaka lazima atoboe, kwasababu katika hiyo akiba yake ndani ya miaka 4 anaweza kufanya mambo makubwa.


Na mjasiriamali mdogo nilazima apigane kufa na kupona ili kuikuza biashara yake katika hiyo akiba aifanyie ubunifu ili akuze mtaji afikie hatua ya kuweka akiba kubwa ili afanye mambo makubwa


Umenielewa mkuu?
Nimekuelewa mkuuu..

but wafanyabiashara wakubwa(smart) wanareinvest, hela anayopata faida anaongeza mtaji endelea kukuza biashara sio kuweka bank, sababu kuweka pesa bank nikama umewapa pesa yako wafanyie biashara(wanakopesha), bank its only temporary kwa ajiri ya kufanyia legal transactions unless huyo ni mfanyabiashara mkubwa sana business inmekua kuwa kubwa so bisness imefika at peak..(anatafuta somewhere pa kuinvest)

kwa wafanyabiashara wadogo(smart) nao sikuhizi hawaweki pesa bank wala kusave home, wana vikundi vyao vinaitwa vikoba, hapa anaweka pesa yake pia nae anaweza kuchukua kwa riba ndogo in return wana gawana faida so. thats why nikasema servers are losers.. hi perfect way yakukuza biashara kwa haraka kwa wafanyabiashara wadogo

hivi ndo dunia inataka sio kuweka pesa bank..

zaid kumbuka ukiwaka pesa kwa mwaka kama ni milion moja, ni lazima itapungua thaman sababu ya mfumuko wa bei so kwa namna moja au nyingine unapoteza..

hope tuko sawa...
 
Mimi nimenunua hisa kwenye soko letu la Hisa (DSE) na fanya saving za ujenzi bank, pesa za emergency naweka m pawa na pesa za matumizi ya kawaida na kila siku m pesa na mwisho naweka baadhi ya fedha katika foreigh currency Dollar. Cha kuzingatia hakikisha una kuwa na nidhamu ya hali ya juu na pesa na uwe na plan mapema. hata ukiiacha juu ya meza haimanishi haina kazi ila ina mipango.
 
Back
Top Bottom