Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

Mimi na trace matumizi yangu na ninachoingiza kwa kutumia app ya monefy ambayo ipo playstore. Hii app inakufanya ujue kiasi ulichotumia kwenye chakula, malazi, gari, starehe n.k kila baada ya mwezi.

Kisha natunza bank kwenye akaunti ya saving kile kiasi nilichopanga. Hii ni hatua ya pili ya kusevu.

Mwisho Nasevu hicho kiasi kwenye kununua kiwanja, kufanya ujenzi wa jengo, kununua shamba, kupanda miti kwenye shamba n.k

Halafu ole wake mtu aje na sera zake za kimasikini miaka 3 ijayo ntakapokuwa naenda likizo ulaya na familia yangu.
Nimeipenda Hii ni Kwel njia nzur sanaaaa unatumia
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Kumbe tupo wengi?

Mimi nina idea nyngine ila ni kam kibubu

Ila ii ni kwa ajili ya kutunza sarafu

Usitupe kopo LA pafyumu ukishamaliza matumiz zen toboa tundu kwa juu la kuwezesha kupita sarafu na weka sarafu mpaka lijae na litajaa haraka natumai mpak linajaa basi kopo LA pili LA pafyumu litakua limeisha

Apo iyo hela ya kopo LA kwanza itakusaidia kweny matumizi madogo zen unaanza kuweka LA pili
Aise! toka niliposoma comment hii nilianza kuifanyia kazi njia hii kwa kweli ipo poa nimetoboa katobo kadogo kanakoweza kupitisha sarafu japo huko ndani kuna mchanganyiko wa note na sarafu. tofauti na kibubu njia hii huwezi vunja kopo kirahisi shukrani sana.
 
Wakuu uzi umenisaidia mi saving zilishanishinda
Ila Nitajitahidi nianze tena ila masaada ni bank gani nzuri kwa kuweka hela kidogokidogo kwa siku au week na huwezi kuitoa hadi mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia nzuri ya kuweka akiba ni kuwakopesha jamaa zako wa karibu.
ni kweli kabisa ... mimi nina weka akiba kwa njia ya networking na kutumia pesa hyo kukopesha watu!!! People we should think deep and see how networking inaeza kutukomboa na kuacha mawazo finyu juu ya networking. Nina save kupitia watu na watu wanasave kupitia mm
 
Nilikua sina utamaduni wa kuweka akiba kabisa Nafanya biashara napata faida kila siku,nikiuza kitu Faida elf 10 kesho yake nikifata mzigo nafata mzigo mkubwa zaidi ya leo..nkawa napata hela biashara inakua ila sijui kwa mwezi napata sh ngap..Nimetamani sana kujua kwa mwezi napata sh ngapi.

Saivi nikipata faida 5000 Siongezi kitu natia faida yote kwenye Kibubu,nkaja gundua kumbe Sikua napata hela YA MAANA mwisho wa mwezi..Nimefurahi kugundua hilo.

Akiba ya KIBUBU naipenda sana maana naiamini imenifanya nijue kuheshimu PESA na Nimegundua wapi nilikua nafeli,Biashara hizi usipokua na utaratibu wa kuweka akiba ukajua kipato chako kwa Mwezi..Jiandae Kufunga siku si nyingi.

KIBUBU ndo mpango mzima kwangu Huko BANK,MITANDAO YA SIMU hapana asee bado naona haina tofauti na kumpa mtu hela akutunzie HELA ZAKO TUNZA MWENYEWE ukiona unazidokoa basi bado hujui kuheshimu pesa unayotafuta.
 
How??? Tunaomba utufundishe

Mkuu ata mm hii kitu inanifikirishaga mno lakini kuna wakati niligundua bora kua na mtaji /msigo wa kutosha wenye huwakika wa kubadilika kua cash mda wowote ukihitaji kuliko hcho kibubu (unaweza kua na kibubu bado ukapigana kua na mtaji mkubwa pia) maana kibubh hakiwezi tatua tatizo kubwa kama ukitaka kujenga nk. Lakini ukiwa na mtaji mkubwa unaweza toa pesa kazini huku ukiamini uwezi yumba, maana utakua umetoa ziada tu.

Binafsi nishapiganaga na kibubu na niwe mkweli kilinipeleka mbali lakini niligundua kuweka cash kama hakiba haiwezi kuongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nanunua dhahabu kwa sonara na kuihifadhi na zingine wife na watoto wanazivaa wakihitaji
Ni asset nzuri na thamani haishuki hata siku moja
Unaweza kupeleka bank kama kuna access hiyo kwa huko
utajuaje sasa dhahabu hii yenyewe..nsje jikuta badala ya kuweka akiba dhahabu najikuta nanunua JIWE nahfadhi ndani siku naenda Uza wanambie Hatununui haya mawe...NIZIMIE kwa kifafa
 
Mkuu ata mm hii kitu inanifikirishaga mno lakini kuna wakati niligundua bora kua na mtaji /msigo wa kutosha wenye huwakika wa kubadilika kua cash mda wowote ukihitaji kuliko hcho kibubu (unaweza kua na kibubu bado ukapigana kua na mtaji mkubwa pia) maana kibubh hakiwezi tatua tatizo kubwa kama ukitaka kujenga nk. Lakini ukiwa na mtaji mkubwa unaweza toa pesa kazini huku ukiamini uwezi yumba, maana utakua umetoa ziada tu.

Binafsi nishapiganaga na kibubu na niwe mkweli kilinipeleka mbali lakini niligundua kuweka cash kama hakiba haiwezi kuongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzizo mkuu nakuelewa ukisema hivyo maana hata mimi mwanzo nilikua nawaza hivyo Kwanini niweke Hela wakati naweza weka ikajizungusha? lakini kumbuka Mkuu ktk BIASHARA kuna hasara na FAIDA ila ukiweka hela kwenye Kibubu Haina hasara zaidi utaikuta vile vile ulivyoiweka. Ila ukisema ngoja ukuze mtaji utakuza Mtaji litakupata Janga linalohitaji CASH on time Sijui utmpa nani vitu vya Dukan akupe HELA so bado nadhani mKUU akiba ni MUHIMU mtaji utakua tu taratbu kila mwsho wa mwezi unatoa ka percent unakapeleka keney biashara ILA KUWEKA faida yote kwenye MTAJI mi siwezi tena saivi..Yashanikuta sikukukoma nikajaribu tena yakanikuta Sijakoma kama mara 10+ ila saivi Nimkoma Kibubu Njoo hapa
 
NJIA NZURI YA KUHIFADHI PESA NI KUWEKEZA. Kila upatapo ziada wekeza kwenye biashara ndogo ndogo. Wahenga wa zamani wanasema ndo ndo ndo si chururu.
Ukiwekeza biashara ikifa Akiba imepotea..Maana ya Akiba ile hela haitakiwi kuwa na Kubahatisha NI hela inayotakiwa AVAILABILITY yake iwe uhakika 100%...Ukiwekeza kwenye biashara Ikatokea Nyumba unayoishi imeungua Utajinasuaje hapo ZAIDI ya kwenda kUKOPA halafu uje urudishe BADAE.
 
Je, ukinunua $$ kwa Tsh 2,200 then Madafu ikapanda thamani, ikawa 1 $$ kwa Tsh 2,150 hujala hasara mpaka hapo ?
Nunua ikiwa imeshuka kbsa kuna kiwango Dola haishuki kupita hapo..Usinunue ikiwa na Thamani sema hapo hapana mi napaogopa..Ila kama unataka fanya hvyo
 
Tatzizo mkuu nakuelewa ukisema hivyo maana hata mimi mwanzo nilikua nawaza hivyo Kwanini niweke Hela wakati naweza weka ikajizungusha? lakini kumbuka Mkuu ktk BIASHARA kuna hasara na FAIDA ila ukiweka hela kwenye Kibubu Haina hasara zaidi utaikuta vile vile ulivyoiweka. Ila ukisema ngoja ukuze mtaji utakuza Mtaji litakupata Janga linalohitaji CASH on time Sijui utmpa nani vitu vya Dukan akupe HELA so bado nadhani mKUU akiba ni MUHIMU mtaji utakua tu taratbu kila mwsho wa mwezi unatoa ka percent unakapeleka keney biashara ILA KUWEKA faida yote kwenye MTAJI mi siwezi tena saivi..Yashanikuta sikukukoma nikajaribu tena yakanikuta Sijakoma kama mara 10+ ila saivi Nimkoma Kibubu Njoo hapa
Pole sana kwa yaliowai kukukuta mkuu.. ila kiukweli mm ni mtu mwenye tamaa kukaa na cash af pembeni kuna kitu naweza nunua na baada ya wiki kikanipa faida ya buku5 siachagi na uwezi kuamini kuna wakati nakuaga sina ata ela ya maji mfukoni ila wakika Wa kula nakua nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom