Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanauma yamechubuka au kama yameviza?mtoa mada mi nimeanza juzi kukimbia kuzuka uwanja bt mapaja yote yanauma hatari VIP hii hali unaweza isha baada ya siku ngapi
usiache kwa ajili ni kitu ambacho ulikuwa ukifanyi hivyo misuli inakuwa inapokea kitu kipya baada ya siku kama 5 na itakuwa ni kawaidamtoa mada mi nimeanza juzi kukimbia kuzuka uwanja bt mapaja yote yanauma hatari VIP hii hali unaweza isha baada ya siku ngapi
Cheki hiiGud... kitambi kimezidi naamini kwa hapa kitapungua
Nione kwa ushaurimtoa mada mi nimeanza juzi kukimbia kuzuka uwanja bt mapaja yote yanauma hatari VIP hii hali unaweza isha baada ya siku ngapi
Mkuu asante kwa Mada nzur naomba msaada mazoez ya TumboKitu poa kabisa baada ya kuanza mazoezi ni kupata matokeo ya zoezi lako, poa zaidi ni matokeo hayo yanapokuja kwa haraka.
Siyo kila mtu ana muda wa kufanya zoezi la masaa matatu, hell wengine hata saa moja kwao ni kupoteza muda.
Now uzi huu uwe special kwa ajili ya kugeana mbinu za kufikia malengo haraka, mbinu zitakazotolewa hapa ni za mazoezi yoyote.
Ni vizuri mbinu itakayotolewa iwe ambayo mtu ulishawahi kuitumia au kuiona mtu akiitumia ili likija swali unalijibu kwa uhakika.
Naanza na hizi.
1. Ukiwa unajivuta mikono usiitanue sana iwe na umbali wa usawa wa mabega yako.
Utatengeneza biceps, nguvu za mikono, mabega na 'mabawa' yatakuja kama kawaida.
2. Raundi zako ziwe 10 na seti 3 za mazoezi katika kila zoezi lako.
3. Kama unafanya zoezi la kifua anza na push ups, piga push ups za tambarare na miguu ikiwa juu ya kitu kisha nenda anza na incline bench press.
4. Ukiwa unakimbia usiteme mate na hema kwa kutumia pua, mdomo usiwe wazi. Utafikia levo ya juu kabisa ya kukimbia kwako pia utazuia kichomi.
5. Tafuta mwenza wa mazoezi.
6. Changanya juisi na peanut butter na itumie muda wote utakaokua ukifanya zoezi lako.
Zingine endeleeni wadau na mimi nitaendelea kutoa mbinu.
Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki HapaMkuu asante kwa Mada nzur naomba msaada mazoez ya Tumbo
Protein powder ni supplement katika gym advanced unaweza ukakuta wanaziuza, kwa sisi Tanzania maarufu ni whey protein na protein shake.Safi sana hii inatufaa wana mazoezi
ningependa kujua pia namna rahisi ya kuongeza protein ili niweze kugain more muscles na weight kwa yeyote anayejua atufahamishe
kuna kitu kinaitwa protein powder anayejua hii kitu atoe details
Ila ukiamua kutumia supplements inabidi uwe serious na mazoezi na uende to the extreme.Safi sana hii inatufaa wana mazoezi
ningependa kujua pia namna rahisi ya kuongeza protein ili niweze kugain more muscles na weight kwa yeyote anayejua atufahamishe
kuna kitu kinaitwa protein powder anayejua hii kitu atoe details
going to the extreme is not a problem asante kwa majibu yaliyojitosheleza mkuuIla ukiamua kutumia supplements inabidi uwe serious na mazoezi na uende to the extreme.
Hii ni kwakua utakua una protein nyingi mwilini ambayo haina kazi na badala yake itasababisha tumbo kua kubwa na kuonekana mnene.