Kuna kabinti ka o level kalifukuzwaga mary g kakaja baobab, bonge la tomboy, ni mzuri sijui niseme sasa muhandsome[emoji23]
Enzi hizo bado hakuna baobab boys. Siku za sports tunavaa mabukta yetu na raba. Sasa haka kadem sikataji jina kalikua kanavaa all stars, vest mara nyingi wengi tulikua tunanunua zile za spider black. Halaf alikua anavaa keyholder zile za mnyororo. Ananyoaga timber. Alaf lips anaziuma uma. Alikua anacheza tuu basket. Matomboy walikua wengi ila alivuka mipaka. Tukigaiwa soseji alikua hali anaziweka usiku anaenda kuwakonolea wenzie wa o level.. nadhan alifukuzwa pia. Yaan alikua akicheza basket anavydrible sasa visichana vingine vinascream balaa[emoji23][emoji23]