Share uzoefu wako ulivyom-date na 'Tomboy'

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka tu nilivyoimagine hizo harakati za mwanamke mfupi hapo club. Anaishi mitaa gani kwanza[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Kama vile naona mtungi wa oryx club unaemda huku unarudi kule[emoji23][emoji23]

Hakubambia waremboo?
Uwuuuiii... mauno kama yote kwenye mduara. Ka vile nimekuona bills kwenye kona ama kighorofani ukimchabo kwa mbali[emoji23][emoji23] pooh mbaka
 
amewabambia sana mademu wenzie!aliwachangamsha hadi wale hawana vinywaji ilibidi wacheze nae kufurahi tu!
kiukweli kile kidemu ni kifupi halafu kidogo unaweza kuhisi nilikuwa na denti wa la5!
 
Hahahahah
 
Mi kuna kidada kifupi chembamba tako hakina salamu zake ni gwala i mean tano na lugha za kisela kisela tu ,
Nilijuta kuomba mechi yaani kinakatika kama kinacheza singeli yaani fujo sio fujo mara hovyo hovyo mpaka mpc inauma kwenye shina wala hakijali aisee sitorudia tena kudate nacho.
 
Kuna kabinti ka o level kalifukuzwaga mary g kakaja baobab, bonge la tomboy, ni mzuri sijui niseme sasa muhandsome[emoji23]
Enzi hizo bado hakuna baobab boys. Siku za sports tunavaa mabukta yetu na raba. Sasa haka kadem sikataji jina kalikua kanavaa all stars, vest mara nyingi wengi tulikua tunanunua zile za spider black. Halaf alikua anavaa keyholder zile za mnyororo. Ananyoaga timber. Alaf lips anaziuma uma. Alikua anacheza tuu basket. Matomboy walikua wengi ila alivuka mipaka. Tukigaiwa soseji alikua hali anaziweka usiku anaenda kuwakonolea wenzie wa o level.. nadhan alifukuzwa pia. Yaan alikua akicheza basket anavydrible sasa visichana vingine vinascream balaa[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]fala Sana wewe
 
Hehehehe mume wao[emoji1787][emoji1787]
 
Ha ha ha umenichekesha sana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…