Share uzoefu wako ulivyom-date na 'Tomboy'

ni ushauri tu.
hii ilifaa uifungulie thread ya peke yake. mileage zote zingekuja kwako.

hapa ulipoiweka unampa point 3 muanzisha thread. yaani point zote anachukua yeye.
Hizo points watamlipa shingapi?
 
Mkuu apo umeniangusha
 
Mkuu ulifaidi sana
 
Acha kabisa mwali wangu,
Yule Tomboy alijua kunivuruga akili, mwili na roho yaani mume asingesimama imara nilikua n'shatekwa jumla mie.
Wee hebu shusha story bas mom, tupate experience wallah lol.
 
Nilimla demu wa tom. Boy wangu. Nikala kichapo Sanaa nikakimbia stori inaishia hapo
 
wana wivu
 
Kumekucha πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
 
mimi nilikuwa na mmoja sikuweza muelewa sometimes tukiongea anakaza ile inakuwaje mambo vipi, kuna siku alikuwa anaogea kama msela vile lakini *6 anakata viuno huyo sikuweza kujua which is which
 
alikuacha kweli wewe
 
Leo naomba ni share baadhi ya conv zetu, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
sasa mtoto watamleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…