Kippindi niko Sec, nilikuwa mkimya sana, nilikuwa natumia majani sana, familia hasa ndugu walikuwa wakinisema sana vibaya, lakini kuna binam yangu ( ke ) alikuwa ananielewa sana na alikuwa hapendi sana mm nisemwe, basi alikuwa anapenda sana kuwa karibu nami, ni mdogo kwangu kwa miaka ya kutosha tu, sasa likizo nilikuwa nikirufi home nao walikuwa wakija kukaa home, sikuwah mtamani sababu huo u cousin wetu ni wa karibu mno ati, ikawa nikipata kiporo huyu cousin yeye ndio anakuwa mtu wangu wa karibu mno na muda mwingine yeye ndio anakuwa sponsor. Miaka ikakatika hatukuonana miaka zaid ya mitano, yeye ana maisha yake mm nnayangu,