Share Your Experience While Working Under An Elite Person

Share Your Experience While Working Under An Elite Person

Ninafanya kazi na elites wawili hawa watu ni wakarimu mno.Ni maboss ambao ukifika hutaweza kujua kama ndie mpaka uambiwe.Akiwa yupo ni sawa tu na kama hayupo.Ukimsikia kagomba ujue umeharibu sana other wise yupo na business zake.
 
Niliwahi Fanya kazi na mtu Fulani maarufu sana tu hasa Instagram maisha yake ya mtandaoni na uhalisia ni vitu viwili tofauti sana uyo ndo alinifanya nisiamini maisha ya watu mitandaoni ishi maisha yako Kila mtu ana struggles zake sema hawezi kuzionyesha
 
Nilifanya kazi kwa matajiri wawili mmoja mzungu na mmoja mswahili..yule mzungu tuligombana na mswahili tuligombana....ila kote mm nilizingua

Wako smart mno..pia wanafanya kazi sana halafu wako creative mno ila wana tabia moja...tu..!

Lazma wakuchunguze..spying..ile ndio ilinifanya tukagombana...ila ni watu poa kufanya nao kazi...!
 
Term sahihi sio kufanya kazi "chini" ya mtu bali ni kufanya kazi na mtu. Lakini hiyo chance ikitokea I'll downgrade the bastard.
 
Back
Top Bottom