Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Watu wote wataguswa,wajanja toeni hela zenu kwenye mabank
Nawatakia heri ya mwaka mpya
Nalog off
Unatoaje hela NMB?

Mwajiri mkubwa kuliko wote nchini anatumia NMB, mishahara yote inatumwa huko. Unaikwepaje NMB?

The biggest financial conglomerate in the country simply can not be a foreign bank.

The national and economic security exposure is not worth the risk.
 
Information utazipata tu zote mkuu.. kuwa na subra.. kwa jana tarehe 28 sikuona kama zilinunuliwa which means ni buy back ya NMB tutayajua yote hayo ndani ya mda mfupi
Chombo chão cha kumiliki mitaji na uwekezaji cha Robobank kwa karibu nchi kumi "ARISE " ikiwemo Zambia ndicho kitauziwa umiliki wa Robobank.

Hapa Benki kuu inataka/ inatakiwa ilipwe mauzo ya faida ya kabla umiliki hauja hamishwa kama ilivyo sheria ya kuuza shares au umiliki.

AU KWA KUWA BENKI NI YA MABEBERU LAZIMA TUKUBALI KUPIGWA KWA KUTOLIPIA SHARES KATIKA UHAMISHO WA UMILIKI ?.
 
Ni vyema kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kabla ya kutoa taarifa kama hii ili usiwe sehemu ya upotoshaji.
 
Kama wameondoka, kutakuwa na sababu muhimu iliyowafanya waondoke.

Tunahimiza "uwekezaji", na hapo hapo, hatutoi mvuto wa kuwaleta wawekezaji? Haya ni maswali yanayohitaji majibu.
Lakini kama nimeelewa hapa hakuna kilichopotea,kama shares zimenunuliwa nchini ni bora zaidi sababu faida pia itatumiwa ndani,but kama zimeuzwa nje bado hakuna impact mtaji uko pale pale.

So ni mapema sana kulaumu mazingira uwekezaji kwa hili,sabb halina madhara.kama hisa zimeuzwa maana yake mnunuzi kapatikana.

Najua pia wasiwasi wako ni kuwa ikiwa shares zimenunuliwa na serikali.yaani unatia shaka ikiwa muwekezaji atakuwa ni serikali yenyewe.sijajua wasiwasi wako ni upi?
 
Nafikiri wameshtukia kinachoendelea nchini. Kama T.R.A kuzama kwenye akaunt za wateja na kufunga. Wameona waondoke mapema wasijekupoteza. Hii kitu serikali isipokizuia hakutabaki bank chini ya jua la bongo. Ajira zinaenda kupotea
 
Serikali ndio mwanahisa mkubwa kwa sasa.

Ni jambo jema!

Pengine hujui au haujafuatilia mashirika ya umma yalivyoendeshwa kwa namna ambayo yalikuja kufilisika au yalibidi kuendeshwa kwa ruzuku.
Tunarejea taratibu katika ule uchumi wa Nyerere,soon tutajajikuta ufanisi umeshuka na kuanza kutengeneza hasara baada ya kuajiri wafanyakazi kwa vimemo.
 
Benki ya makabwela kwaheri kwaheri [emoji443][emoji443][emoji443][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji981][emoji981][emoji1623][emoji448][emoji447][emoji1623][emoji448][emoji1623][emoji450][emoji450][emoji450][emoji450][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
 
Hata kama ni wewe mkuu ungekubali kuwekeza kwenye huu utawala?
 
Si tupo uchumi wa kati au mimi ndiyo sielewi?
 
Jiulize ilianzaje kuwa kubwa bila hao investor wa foreign? Yaani wameshatengeneza mambo yamekaa vizur ndo mnawaona hawana maana??
 
Huo utashi wa mwafrika uliokuwa unatetewa na Nyerere ilikuwaje tukavaa viraka?
Tulikuwa nchi changa. Kuvaa viraka ilikuwa ni passing phase. Uingereza walivaa viraka kabla ya kuvaa Burberry.

Na sisi sasa tumezidi kukomaa katika kutafuta kujitegemea, hatuwezi tena kuvaa viraka. Tumempata bandido mwingine asiyenyenyekea wageni kwa kusimamia misingi hiyo.
 
Ni kweli, "ni mapema mno", tuvute subira, yatajulikana tu.
 
Zikinunuliwa ndani ni disadvantage maana kutakuwa na capital outflow maana itatakiwa Rabobank walipwe madola wasepe kitu ambacho sio kizuri kwenye uchumi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…