mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
uchumi wa katikati usipokatika basi wakataji hawapo makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdau amesema Rabobank wametransfer hizo share kwa fund yao ambayo inaitwa Arise.. lakini nnavoona hii move itaipa nguvu serikali kwenye decision making maana hiyo Arise atakuwa ni fund tu ya kusimamia investment za Rabobank ila Rabobank hatakuwa tena na influence NMB...Hii ni dalili ya NMB kushindwa kutoa mikopo mikubwa kwa wateja wake ikiwemo serikali kwahio hata miradi ya kiserikali kama elimu bure ita yumba kama jinsi miradi mingine ya serikali inavyo yumba sasa hivi.Napenda kutoa rai serikali isiingilie kati kutaka kukontrol the bank kwani itafanya hali iwembovu zaidi.
Kama ni jambo jema, kwa nini huwa tunawaomba wawekezaji waje nchini? Kwa nini badala ya kuwaita tusifanye wenyewe?Serikali ndio mwanahisa mkubwa kwa sasa.
Ni jambo jema!
Okey inawezekanaKuna mdau amesema inaweza kuwa share transfer kwenye moja ya kampuni tanzu ya uwekezaji ya rabobank.. ngoja tuendelee kutafiti
Hamna sera mbovu kama hiyo ya kurudisha pesa BOT.. halafu sahivi hiyo sera wameibadilisha kimya kimya.. kuna taasisi za serikali wamerudi tena kufanya banking na commercial banks.Sasa cha ajabu utakuta taasisi za serikali zinazuiwa kufanya biashara na hata bank hii
Yaani kila kitu BOT wakati hata hii bank na CRDB ni benk za umma..
Hatujui kabisa huu upumbavu unavyoumiza uchumi
Sad, tulipaswa kujenga kwenda mbele na sio kubomoa na kujenga upya [emoji35]Actually hawa Robobank walikuwa head hunted ..walitafutwa na kushawishiwa kuwa
Sehemu ya bank mpya then ..
Robobank Wana historia the best in the world
Kwenye microbanking...
Na waliitoa NMB kutoka bank mpya ya walalahoi Hadi kuwa bank kubwa kuliko zote TZ...
Sasa tunawaletea uswahili wetu wa kuona mavuno na kuingiza tamaa
Hapana, sio "toka kuvunjika kwa jumuia ya East Africa"Mitumba iko mpaka Ulaya, hawakuvaa mitumba kwa kukosa nguo bali ni nguvu ya soko. Yanga walikula kwa sababu ya ukame, jambo ambalo ni nje ya maamuzi ya kiutawala. Wote sisi na Kenya ni masikini, lakini ni ukweli usioacha shaka kuwa wanauchumi ulio juu yetu, na hili limekuwa muda wote toka kuvunjika kwa jumuiya ya East Africa.
Nahisi kitu kama hicho ukiangalia yule CEO wao mzungu mmama naskia kuna fitna fulani ilifanywa.Kunaweza kukawa na uhusiano wowote na new management? najiuliza tuu,maana Nmb wamepata new CEO ambaye nadhani kwa mara ya kwanza ni mbongo.Sijui kama kulikuwa na shinikizo la kisiasa upatikanaji wake.hivyo labda trust ya muwekezaji imeshuka baada ya kunusa madudu .Nadhani pia wanamfahamu uwezo wake kwa sababu alitoka ndani ya Nmb.
Rabobank ni Benki ya Ki-dachi,so ni muwekezeaji anayeijua vizuri biashara ya benki.Maamuzi yake yatakuwa siyo ya kubahatisha ,yamechagizwa na matokeo ya mahesabu waliyofanya.
Ila pia sijajua mambo ya stock exchange,serikali si pia itakuwa imeingiza mpunga kidogo kwenye miamala ya uuzaji wa hizo hisa eti?
Mkuu
Hii sekta ndio inaenda na maji mazima
Unajua keshaua sekta au mifumo ipi na ipi,ngoja nikutajie:
1.Kaua sekta ya habari yote,sasa ipo chini ya serikali kikamilifu
2.Kaua bunge
3.Kaua mfumo wa mahakama,hakim akiambiwa funga fulani,hawezi kataa
4.Sekta binafsi yote kwisha
5.Sekta ya mawasiliano yote ni hijacked,ipo under control yao
6.Majeshi yote,yanatumwa kufanya chochote hata kama kipo nje ya misingi
7.Tume ya Taifa ya uchaguzi,hapa sina haja ya kuongea sana
8.Utumishi wa serikali umevamiwa...hakuna DED au yeyote serikalini akiambiwa afanye kibaya akatae
9.Vyama vya siasa ni hijacked with exception ya Chadema labda na ACT japo sina uhakika
10.Msajili wa Vyama keshavamiwa,anafanya kazi kutokana na maelekezo
11.Sekta ya michezo ni hijacked,TFF inafanya kazi kwa maelekezo
12.Katiba ya Nchi ni hijacked,haifuatwi,anafuatwa dikteta na utashi wake
Still bado kuna impact maana hiyo fund Arise haiwezi kuwa na knowledge ya banking kama Rabobank.Moja ya changamoto kubwa tulionayo sisi watanzania ni tabia ya kutokufuatilia ukweli wa mambo kabla ya kuandika chochote
Kuhusu shares za Rabobank of the Netherlands kwenye benki ya NMB, ambapo Rabobank wanamiliki 34.9% ya shares zote za NMB Plc( Majority shareholder)
Mwaka 2017 kule jijini Cape Town nchini South Africa, taasisi tatu za kifedha za Rabobank of the Netherlands kutoka Uholanzi, Dutch Development Bank ( FMO) kutoka Uholanzi na Norwegian state owned development fund( Norfund), ziliamua kuingia ushirikiano kwa kuunda kampuni moja ya kiuwekezaji itakayokuwa inasimamia uwekezaji wotewa taasisi hizo tatu, kusini wa jangwa la Sahara ikiwemo na nchi yetu ya Tanzania,( Sub Saharan Africa focused Investment Company)kampuni hiyo mpya ya kiuwekezaji inajulikana kama Arise
Kwa hiyo kunachofanyika sasa ni ku transfer shares za NMB zinazomilikiwa na Rabobank of the Netherlands kwenda kwenye kampuni hiyo mpya ya kiuwekezaji ya Arise
Kwa hiyo kimsingi bado Rabobank wataendelea kumiliki shares za NMB kupitia Arise
Kwa hiyo hakuna capital outflow yeyote itakayotokea ndani ya nchi yetu kwa hatua hiyo, kwa mantiki hiyo hakutakuwa na Economic impact yeyotekwenye uchumi wa nchi yetu kwa hatua hiyo ya Rabobank of the Netherlands
Rabobank of the Netherlands wamefikia hatua hiyo ikiwa ni lengo la kuongeza ufanisi kwenye kusimamia rasilimali zao zilizipo kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo na uwekezaji wao hapa nchini Tanzania
Pia mkuu akutane na wafanyabishara wadogo na wakati ndiyo naona kero nyingi ziko huku chini, na ni kero zinazo athiri kila jambo katika kila sekta na ni eneo muhimu sana kiuchumi, kero nyingi naona zipo katika eneo hili.Mkuu
Hii sekta ndio inaenda na maji mazima
Unajua keshaua sekta au mifumo ipi na ipi,ngoja nikutajie:
1.Kaua sekta ya habari yote,sasa ipo chini ya serikali kikamilifu
2.Kaua bunge
3.Kaua mfumo wa mahakama,hakim akiambiwa funga fulani,hawezi kataa
4.Sekta binafsi yote kwisha
5.Sekta ya mawasiliano yote ni hijacked,ipo under control yao
6.Majeshi yote,yanatumwa kufanya chochote hata kama kipo nje ya misingi
7.Tume ya Taifa ya uchaguzi,hapa sina haja ya kuongea sana
8.Utumishi wa serikali umevamiwa...hakuna DED au yeyote serikalini akiambiwa afanye kibaya akatae
9.Vyama vya siasa ni hijacked with exception ya Chadema labda na ACT japo sina uhakika
10.Msajili wa Vyama keshavamiwa,anafanya kazi kutokana na maelekezo
11.Sekta ya michezo ni hijacked,TFF inafanya kazi kwa maelekezo
12.Katiba ya Nchi ni hijacked,haifuatwi,anafuatwa dikteta na utashi wake
Hapana, sio "toka kuvunjika kwa jumuia ya East Africa"
Ni toka zamani hata enzi za ukoloni uchumi wa Tanganyika ulikuwa chini, kwa sababu sisi hatukuwa "a settler colony".
Na sio kweli kwamba ni sababu ya mitumba kuvaliwa hadi ulaya ndio iliyosababisha Kenya wavae mitumba. Matatizo ya viwanda vya nguo kutozalisha nguo za kutosha ndio sababu..., na hii sio kwao tu, bali hata kwetu na kwingineko, hata huko ulaya.
Sasa kama ukame ndio uliosababisha wale 'yanga', kwani sisi ukame haukutuathiri? Lakini mara zote sisi hugeuka na kulaumu Nyerere tu kwa kila tatizo tulilopata, kana kwamba sisi tulikuwa na dunia yetu peke yetu.
marking scheme ya ubongo wa watu dizain yako ninayoSasa mkuu unadhani your analysis on my brain capacity is fraud maana mimi niliebeba huu ubongo naujua zaidi ya wewe ulieko mbali
Mimi tu ndio nina uwezo wa kutoa analysis kuhusu ubongo wangu mwenyewe maana ni wangu na ndio niliobeba,wewe una guess tu of which ni sawa!
Keep on guessing,ni haki yako!
Ila hiyo ni habari ya 2016 tunahitaji kujiridhisha... Maana ni miaka 4 imepita.. tunahitaji kupata current update kuhusiana na hili sualaNadhani jibu ni hili hapa.
Unasemaje mkuu Nantoombe.
Tufuatilie vipi mkuu 'Ngamanya Kitangalala'?Moja ya changamoto kubwa tulionayo sisi watanzania ni tabia ya kutokufuatilia ukweli wa mambo kabla ya kuandika chochote
Sijui huo "mwenendo mbaya wa kiamaamuzi" unaoulenga.Nijuavyo sio lazima kila nchi ijitosheleze kwa bidhaa fulani, bali nazungumzia kuvaa viraka kutokana na mwenendo mbaya wa maamuzi ya kimamlaka. Kenya walivaa mitumba kutokana na nguvu ya soko, na nakisi ya nguo. Ila sisi ilikuwa ni kukosa kabisa kutokana na misimamo ya kiutawala.
Weka cha kwako unachojua. Yeye kama mdau wa soko la mitaji ametoa speculation, na speculation ndiyo brain ya biashara kwenye stock exchange. Kila tukio la kijamii, kisiasa na uchumi lina athari kwenye bei na soko la hisa.Ni vyema kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kabla ya kutoa taarifa kama hii ili usiwe sehemu ya upotoshaji.