Mkuu
Ukienda kwa FEAR kama hizi utaigeuza TZ North Korea sasa....
Atazungusha ukuta nchi nzima...hii ni hatari
Kazi yake ni kuacha private sector zifanye kazi na biashara inavyotakiwa zifurahie uchumi mkubwa bila bughudha
Yeye kazi yake ni kuchunguza any crime na kushughulikia kikamilifu kama wanavyofanya USA au kenya au South Africa au hata Ghana
Sio huu ujinga wa FEAR ya watu wa Ulaya
Na pia hii Fear ya Ulaya inatokea wapi to begin with?Utaona huyu mtu ana matatizo sana
Huwezi jifungia na dunia nzima kama North Korea,huwezi!
Hii Fear ni tatizo binafsi lake yeye wala sio letu,kuna makosa anafanya to these people ndio tatizo,na hili kosa ni udikteta na uonevu wananchi wake binafsi..
Usiniletee stori eti wanataka kuja kuiba madini yetu,yeah,wanataka kuja kuyafanyia biashara yes,Yeye cha kufanya ni kukaa mezani na kuweka masharti yake ya kibiashara ahakikishe ana-win more for his people,sio kuzima mipaka
Ukizima mipaka kuna tatizo kubwa sana anajificha nalo yeye binafsi,hakuna kingine!
Shida sio biashara,biashara hua haigombi,biashara ni mezani watu mnakata deal kila mtu anaondoka na chake,nothing else!
Kuna matatizo makunwa anayo ya kidemokrasia na haki za kibinadamu na kuvunja katiba na kufanya vitu vya hovyo,ndio shida kubwa
Mkuu completely no fear at all! tumuogope nani? na sisi ni nchi likubwa huru? tumefanya mengi Africa na Duniani kote wanatujua! jeuri yetu, hatulembi sisi!! kusema hivi hizo ni fikra zako huru unaweza waza chochote!!! na ukawa vyovyote kumbuka ''Mawazo hayapigwi rungu!!
but hiyo fear inakuwa created critically deep down na wewe mwenyewe!! Mabeberu ni mabeberu tu hakuna siku watakupenda mwafrica bila faida!! jipendekeze sana lkn hakuna kitu. kosa kubwa unaloweza fanya km kiongozi ni ukiwa kinyume nao na kuwazodoa kwa janja yao!! hawatakupenda daima!
hapo lazima watakuangusha Maksudi!
hata siku moja hawatafanya kazii kwa ajili ya kuinyanyua Tanzania!/Mwafrica hiyo weka akilini mwako.
Private sector zote Nchini zinafanya kwa misingi ya makubaliano na serikali! hkn kwenda Beyond that point of agreements!!
Tuwaogope wametufanyia nini? labda wao ndiyo wamuogope Rais wanatuhitaji sana kuliko tunavo wahitaji, sababu wako kwetu?? yaani rais anaongoza watu Million 57 aogope watu weupe? Hiiii Bhagoshaa! honenee naresata ntwee!
hivi unajua japo kidooogo asili yao wale watu? in comparison with us? au tunaongea na mtoto hapa? je wajua madini km ile dhahabu wana fanyia nini weye? au wasema tuu!!
Rais hana fear! na hata kuwa nayo!!! labda kwa mtizamo wa fikra zako tu! unaweza waza vyovyote na uka heshimiwa!!
kutokujipendekeza kwa mtu siyo uoga. bali msimamo wake km Rais!! kwa huu mtizamo wako ma Rais kibao wa Ulaya, Latin America nk, hawaji Africa?? ina maana basi wanatuogopa?
Hkuna jamii ya watu/nchi,Duniani ambao haina miiko( ambao unauita udikteta) japo kwa mbaali, hata nyumbani kwako lazima uwe na miiko (Dikteta), jaribu kuwa baba wa kiholela nyumbani kwako uone utamu, halafu ndiyo uje na sera zako za udikteta!!
majirani watakushangaa na kukuona siyo baba Bora! km hukuweka miiko nyumbani kwako!!! kijana wako mkubwa hawezi kuingia/ kujilaza mahali unapolala na kujipumzisha wewe na mkeo, wakati mkifanya yenu! japo ni mama yake mzazi!
NDIYO wanakuja kuiba Madini na kunyang'anya, kwani uongo??? kinacho fanyika sector ya madini ni uporaji mchana kweupeee! tena bila kunawa usiku na mchana, Nyerere alikataa huu ujinga!!! huyu tumempa dhamana wacha asimamie!!! awezavyo!!
Biashara inagomba sana tu wewe hujui wanalalia tena waziwazi!! tulikataa tangu mwanzo hawataki wayaache hayaozi yale Madini. watanzania watakuja kuchimba!
Hujui thamani yako Duniani km mtu mweusi! wewe nakwambia! sisi ni sisi wao ni wao '' Seat down and Re think on your own as twice as much as your brain capacity can uplift you!! we can live on our own and make changes!. wazee wangu shule za misheni zimewaharibu sana!