Msanii maarufu wa vichekesho Shalo Balo au Shalo milionea amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali ya gari huko Lushoto Tanga,,,Mungu amlaze mahali pema Shalo!!
R.I.P Shalo!!!
Chanzo: BBC Swahili.
Msanii maarufu wa vichekesho Shalo Balo au Shalo milionea amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali ya gari huko Lushoto Tanga,,,Mungu amlaze mahali pema Shalo!!
R.I.P Shalo!!!
Chanzo: BBC Swahili.
what is happening?sorry sio kama hastahili kufa but mazingira ya wiki hii tu.....hapa naangalia interview ya maganga,anavyoelezea malengo aliyokuwa nayo basi tu jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu.Panga kila jambo katika maisha yako,pumzi mwachie Mungu.R.I.P brothers.
Duniani hakusomeki meeeeenumebug meeeen
Definetly Lowasa is the source na mafisadi wenzake