Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Msanii maarufu wa vichekesho Shalo Balo au Shalo milionea amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali ya gari huko Lushoto Tanga,,,Mungu amlaze mahali pema Shalo!!
R.I.P Shalo!!!
Chanzo: BBC Swahili.
Nimeisikia hii habari kwenye magazeti. Nikakumbuka matangazo ya biashara aliyokuwa akiyafanya na Mzee Majuto: Watoto wangu wanapenda moja la Airtel anaposema Umebugi men! Mungu amulaze mahala pema. Mbele yeye nyuma sisi

