Dah! nimeupokea msiba huu kwa masikitiko makubwa sana, sina raha hata kidogo moyoni mwangu kuondokewa na mchekeshaji mzuri kama huyu aliyekuwa na jukumu la msingi la kutuongezea siku za kuishi za kila mmoja wetu kwa kutuchekesha.
Ila kwa kuwa kila mwenye uhai lazima aonje mahuti, hatuna budi kumtakia apumzike kwa amani SHAROMILONEA.
MUNGU KWA MAPENZI YAKE AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI Ameen!
Ila kwa kuwa kila mwenye uhai lazima aonje mahuti, hatuna budi kumtakia apumzike kwa amani SHAROMILONEA.
MUNGU KWA MAPENZI YAKE AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI Ameen!