Mm limenigusa sana, nikiangalia Tangazo la Airtel na alifanyia huku mitaa ya kwetu, nyimbo yake hii mpya ya mbuzi kalamba chuma cha Reli, movie zake na King Majuto, matangazo yake pale Tazara kwa Bakhresa etc
Mimi nikaona haya:-
1. Ktk ulimwengu, hasa wa Roho unapofanikiwa wengi huinuka na kuwa maadui na watapambana nawe tu, so ni vyema kuwa makini mno.
2. Ni tutambue kuwa cc wapitaji tu, ni vyema tujiandae muda wowote, ipo cku yaja uhai wako utakapotoka kwa sekunde na kila kitu kitabaki hapa na utasahaulika.
3. Sisi tuliobaki tujifunze, Mungu awabariki sana.