TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Poleni wasanii ni kweli mnawakati mgum kuzipokea hizi hali karibu imekuwa kila wakati,mungu awape faraja awaondolee huzuni,vilio na majonzi
 
There are currently 742 users browsing this thread. (73 members and 669 guests)

Hoya Nyie Guests Mnatuyeyusha Jiungeni Bwana!!!!!

Mmmhhh wewe nae huna dogo.?? Ila hata mie kweli huwa hawa jamaa wananiyeyusha sana angalia walivyo wengi kuliko hata members???
 
R.I.P Hussein (Sharo Milionare)
Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe, Amin!
 
Kweli wadau. Muda mfupi nimepita eneo la ajali. Alikuwa akienda kwao na kiukweli alishafika maana alibakiza vijiji vichache kufika kwao.
 
Kama ingalikuwa binaadamu anaruhusiwa kukata rufaa ya kifo mbele ya Mungu....! RIP Sharo!
 
Mmmhhh wewe nae huna dogo.?? Ila hata mie kweli huwa hawa jamaa wananiyeyusha sana angalia walivyo wengi kuliko hata members???

Halafu Mtaani wanavyojisifu u Member Nguli wa JF. Utawasikia mimi ndiye Albedo wa JF ha ha ha
 
Nachukia sana watu mnaoanika miili ya marehemu wakiwa katika hali mbaya kama Mwehu mmoja alivyofanya ktk moja ya uzi hapa jamvini. Ni vizuri mkaacha tabia hii fikiria ungekuwa wewe ungefurahi
Tatizo lako wewe unaumwa uoga
 
So sad kwa kweli kijana alikuwa anajitahidi jamani mungu ailaze roho ya marehemu peponi.
 
Halafu Mtaani wanavyojisifu u Member Nguli wa JF. Utawasikia mimi ndiye Albedo wa JF ha ha ha

Ha ha ha ha ha kumbe kuna mmoja aliwahi kusema yeye ndo MwanajamiiOne nikamcheka sana hakujua kama mimi tayari namfahamu ha ha ha kumbe nawe umewahi sikia haya.....................
 
Last edited by a moderator:
Wengine waandishi ya magazeti "pendwa" ya udaku wanatafuta habari za kuuzia magazeti yao kesho.

Haaaaaaaaaa Katavi kweli maaana huwa wanasemaga sosi zao kwamba kuna mchangiaji mmoja alisema lol

There are currently 814 users browsing this thread. (74 members and 740 guests)
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaaaaa Katavi kweli maaana huwa wanasemaga sosi zao kwamba kuna mchangiaji mmoja alisema lol

There are currently 814 users browsing this thread. (74 members and 740 guests)

ndo ujue jf ni source makini... wengine huwa wanatafta cha kuongea mtaani
 
Last edited by a moderator:
Naomb KujuZwa steve Nyerere ni nani katika maswal ya Misiba ya wasanii hapa
TZ....Kwani Kila unapotokea Msiba Yeye Ndiye anathibitisha....!!!!!???
Confirmed mkuu ni kweli ametuaga jamaaa.....

Nimepata habari kutoka kwa Steve Nyerere jamaa amevuta.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom